BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

Status
Not open for further replies.
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Nikiripoti kutoka hapa Mwitongo Butiama Mimi ni mchonganishi na ninaelipwa kwa kuichafua CHADEMA, Julifunza wa ai ti viiiiiiiii
 
Wajinga kama hawa sheria ya cyber crime ikisainiwa mtaozea Segerea. I CANT BUY THIS CHEAP STORY.
 
Juliana Shonza mdogo wangu sasa walienda Butiama wakati mwenyenyumba hayupo?Utaendaje mahali ambapo mwenyeji wako hayupo?

Pili hauni nafuu hawa wanoitaka Tanganyika sababu wanazo sababu zao za kufanya hivyo?

Hebu waone CCM na UVCCM,wao ni MAFISADI,WALA RUSHWA WAKUBWA,WEZI WA MALI ZA UMMA,MAJANGILI na bado wanapita mitaani kueleza ETI wanamuenzi JKNyerere,hebu jione ni aibu kiasi gani,badala ya kukemea uovu huo unaenda kuwafuata BAVICHA ,kisa wamebeba bendera ya Tanganyika,nadhani hata JKNyerere angewapokea na kuwasikiliza na hakika angewapa maelekezo nini wafanye.

Juliana Shonza rudi nyuma kaisaidie CCM KUPIGA VITA UFISADI,RUSHWA NA UJANGILI UNAOENEZWA NA VIONGOZI WENU.

Toa kwanza BORITI kwanye jicho lako ili upate kuona KIBANZI KWENYE JICHO LA JIRANI YAKO.Watanzania tunayajua mengi kuliko unavyofikiri ndani ya hako kaubongo kako.
 
juliana Hii ni tetesi tuletee habari kamili.
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Huyu nae ange takiwa awe mwalimu! afundishe watoto wetu...loo!!! yani dada upo mtupu kama utupu, una jitia aibu sana, hukatazwi kufanya propaganda, hapa umeandika utoto sana,

Hivi ww ni kiongozi kweli?.....nachelea kusema kuondoka kwako chadema, ili kuwa ni faida kubwa sana kwa BAVICHA.
 
mbna mnamshambulia mleta mada badala ya mada??

lisu kama ni kweli amejaribu kwenda butiama atakua amekatika mshipa wa aibu au mshipa wa kumbukumbu

kwa shudu alizomtolea Mwalimu JKN anathubutu kwenda butiama

lol
 
wachaga wamefunga maduka kwa sababu yako utakoma dada angu,hata hapa jiran kuna mangi namuona anapga simu kwa saut kustua wenzake.
 
au ni uja uzito una kusumbuwa?????....
 
Tatzo la mtu kukosa mwenzie wa kumkunja. Au kumwinua miguu juu.
 
ukiendelea hivi nitapendekeza uwe mkuu wa wilaya mwezi wa sita!
 
siku hizi jamii kunachefua ,badala ya kujibu hoja yake ya kwenda na bendera ya tanganyika ndio mumuenzi mwalimu mnamshambulia mtoa mada
 
Huu sasa ni ujinga wa kufikiri yaani we na mtoa mada hamna utofauti. Idiot.

wachaga wamefunga maduka kwa sababu yako utakoma dada angu,hata hapa jiran kuna mangi namuona anapga simu kwa saut kustua wenzake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom