BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

Status
Not open for further replies.
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

?

you are simply a fool, subiri October ndio mwisho wa hiyo ndoa yako huko uliko
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

The truth hurts:
1. Lisu kapungukiwa nini kwa kuzuiwa kwenda kuona kaburi la mzee nyerere, wanaokwenda kila mwaka wamepata nini?
2. Hii imani ya kudhuru makaburi imetoka wapi? Dini gani hiyo, nitakuwa mwanadamu wa mwisho kuamini makaburi.
3. Kama ni documentary za mwl nyerere zipo, unachofata butiama ni nini?

Hitimisho: nadhani sasa makaburi ya nyerere yabaki kuwa kumbux2 za wazanaki na siyo issue ya Kitaifa, Pasiwe HIJA kwa wanasiasa wanaosaka DSA wakati watanzania vijijj vya jirani kama Kinyariri, buhemba, ryamisanga, nk watu wanakula mizizi
 
siku hizi jamii kunachefua ,badala ya kujibu hoja yake ya kwenda na bendera ya tanganyika ndio mumuenzi mwalimu mnamshambulia mtoa mada
Mpaka sasa hakuna kanusho toka bavicha kwenyewe na wapo humu.anashambuliwa binafsi mtoa hoja.maana yake habari hii ni kweli tupu
 
Shonza.... Umeshazaaa? Au bado unatapika tu.. Tuzalie mwanetu mahali yetu lazima uilipe...

Tutakutia goli za kutosha hadi uzae... Na utatoa style tutakazo ss tuliokuoa..

Baaaasi
 
juliana shonza inaonekana mumeo aku..to.mbi vizuri ndomana akili yako aijakaa sawa tafuta mwanaume mwingine akunyanyue vizuri angalau akili ije
 
bila shaka yoyote we ni mfuasi wa chadema,duh kaz ipo
 
Kila mmoja ana haki ya kiamini anachoamini hata kama si ukweli, ndo maana wapo washabiki wa Arsenal na Man u, Simba, Azam na Yanga. Hao vijana wanayo mitazamo yao lkn wajue wao si Mwalimu Nyerere, wao si Tanzania na wao si Tanganyika. Kumkataa Lisu si jambo la ajabu. Ni mtizamo na influence ya wengine juu yako na zaidi kama uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo na pia ni mvivu wa kusoma na unawategemea wengine wakuchambulie.
Kama mnayo kumbukumbu ya mageuzi hapa nchini ilipoitishwa white paper watu waamue upi mfumo sahihi kati ya chama kimoja na vingi, wengi walisema kimoja, ni kama 80 percent. Ni mwalimu huyohuyo wa Butiama aliona umuhimu wa hilo mna mpaka leo tunaweza kuwazungumzia CCM na wengine. Mwalimu hakuwa mtu mkavu, alikuwa flexible lkn alitaka mpambane kwa hoja.
Kwa hali ilivyo sasa kwa mtizamo wangu Mwalimu angeona umuhimu wa mabadiliko ya mfumo wa Muungano na si kuuvunja. Kwa hiyo si ajabu watu kufikiri wanavyofikiri kwa kuwa mwalimu alikufa akiwa na imani tofauti na wao.
Hoja zenye mashiko ni kuona mafisadi wanazuru kaburi la mwalimu hata kama wao wanaupenda mfumo uliopo wa Muungano. Mwalimu was veru intelligent na mtu na kwa namna ninavyomkubali, sifurahi akitumika kwenye hoja dhaifu.
Nadhani sijamkwaza mtu ni mtizamo wangu tu.
 
Mwalimu Nyerere angekuwa hai asingeruhusu watu km JK au Edward Lowassa wamtembelee Butiama,...hao ndio maadui wakubwa wa sera za Mwalimu, wamekumbatia ufisadi wa mali za umma na siasa za Kimafia???
 
Attachments

  • IMG-20150406-WA0011.jpg
    IMG-20150406-WA0011.jpg
    120.1 KB · Views: 357
  • IMG-20150406-WA0014.jpg
    IMG-20150406-WA0014.jpg
    86.4 KB · Views: 327
Maskini Juliana shonza tulikuonya hukusikia. .. kumbuka wakati si milele1428318012999.jpg1428318030426.jpgjifariji na hizi ya CHADEMA waachie CHADEMA 1428318012999.jpg1428318030426.jpg
 
LISU akipata umaarufu zaidi atawasumbua sana hawa WACHAGA afadhali ya ZITTO.Nakumbuka alimponda sana mwalimu.
 
The truth hurts:
1. Lisu kapungukiwa nini kwa kuzuiwa kwenda kuona kaburi la mzee nyerere, wanaokwenda kila mwaka wamepata nini?
2. Hii imani ya kudhuru makaburi imetoka wapi? Dini gani hiyo, nitakuwa mwanadamu wa mwisho kuamini makaburi.
3. Kama ni documentary za mwl nyerere zipo, unachofata butiama ni nini?

Hitimisho: nadhani sasa makaburi ya nyerere yabaki kuwa kumbux2 za wazanaki na siyo issue ya Kitaifa, Pasiwe HIJA kwa wanasiasa wanaosaka DSA wakati watanzania vijijj vya jirani kama Kinyariri, buhemba, ryamisanga, nk watu wanakula mizizi
Kama mpaka leo haujaijua nafasi ya Nyerere katika maisha ya Watanzania basi nadhani wewe sio mtanzania, kwa maelezo yako una mentality za Alshabab.
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?
msemaji wa BAVICHA, hivi wewe juliana shonza hukupata u-DC? Pamoja na kutumika Koote?
 
Tatizo la wanaccm wanaamini nyerere ni wao tu na si vyama vingine. Nahisi hii stori imetungwa lumumba!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom