Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Lisu ana majazba sana hafai hata kupewa uwaziri wa upishi.
mnahasira nae kwasababu alimshughulikia mmeo zitto..
Lisu ana majazba sana hafai hata kupewa uwaziri wa upishi.
Unamaanisha huyu.... ni mfuasi wa 0713...??Naona sasa hivi utakuwa unalisha kwa ma..ka..li..o. Chezea nyama ya mgongo, akili imevurugwa
Nani aoe bomba la maji?Bavicha tunatisha njoo uolewe, hoja yako ni mfu hiyo,
unafaa ukuu wa wilaya ila baba ndio anastaafu una bahati mbayaTundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.
Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.
Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.
Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?
Nilisema nitaandika clarification. Ndiyo hii. Haya mambo yalitokea juzi. Tundu. Lissu hakufika hapa juzi. Uongo wa juliana wa kwanza. Vijana wa bavicha hawakuomba msamaha kwa muda wa saa tatu. Uongo wa juliana namba mbili. Butiama haikusema inataka. Dr. Slaa aje kuomba radhi kwa niaba ya chadema la sivyo. Tundu. Lissu asije butiama. Uongo wa juliama namba tatu.