BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

Status
Not open for further replies.
Hao wa ukoo wa mwl bado wanaishi zama zile za zidumu fikra za mkt na udikteta. Kuwa hawataki kusikia uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Ile ya kukosoa na kukosolewa ya enzi zile ilikuwa ni geresha tu.

Wengine humu mitandaoni wanachagiza mtoto wa mwl awe rais wa awamu ya tano, kama ukoo wake unafanya mambo hayo ya hovyo si ndio dalili za kutawaliwa na madikteta wa karne hii ya 21.
 
Mleta mada sijui umekula maharage ya wapi wewe?
 
Unaliwa na parata wewe................. Ulivyo na kiherehere ungetupia picha. Kakojoe ukalale labda unatoka mkesha
 
mbna mnamshambulia mleta mada badala ya mada??

lisu kama ni kweli amejaribu kwenda butiama atakua amekatika mshipa wa aibu au mshipa wa kumbukumbu

kwa shudu alizomtolea Mwalimu JKN anathubutu kwenda butiama

lol

Hauko well informed katika hili, mama Maria mwenyewe Alishaunga mkono kauli ya Lissu kuwa mumewe hakuwa malaika hivyo yapo mengi alikuwa anakosea
 
Mtu akiwa mtupu anatakiwa kustiriwa ila kwa huyu binti msaliti tumuache aendelee kua mtupu tu
 
Hivi kitengo cha propaganda Lumumba kinaongozwa na nani siku hizi baada ya Tambwe Hiza kuwa mchoma chips?
 
Wenzio wanapata vyeo kwa sura na maumbile yao,naona wewe huna mvuto.Jaribu kwa kupitia UJIKO WA CHADEMA labda utaonekana upate angalau u-housegirl.
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Tumekusikia mkuu wa wilaya usiekuwa na wilaya maalumu
 
Juliana Shonza hivi bado hujamzaa tena mtoto wa pili na watatu?. Endelea kuzaa watoto acha kuropoka... Ya chadema na Bavicha hayakuhusu. Endelea kusubiria ukuu wa wilaya uliyoahidiwa. Nashangaa hata ktk shortlist ya orodha ya wakuu wa wilaya waliyopita hukuwapo. UTASUBORI
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Kwahio baada ya kukataliwa Lisu Amekufa?. Km hajafa basi huu Uzi ni Uchafu.
 
Dada angu Juliana Shoza. Elimu ya mjinga ni majungu, acha majungu tujenge chama chetu. Hivi mumeo akisoma haya mtusi unazani anajisikiaje kweli, afu inaelekea bado unaipenda Cdm haiwezekani mume aliye kufukuza unafuatlia kila hatua ya maisha yake aibu dada, kama bado unapenda cdm omba msamaha urudi.
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

nilposoma kichwa cha habiar nikahis utakuwa unaakil timam nilpolisoma bandiko lako hapo ndo nilipogundua unafikir ka kutumia masabur
 
Jamani........!!! Mwalimu alifanya mengi sana mazuri wakati wake,na mengine hakufanya,na Mw.hakutaka kuwa Mungu hata siku moja.Wengi wetu tumesoma bure kabisa kwa sababu ya uongozi wake uliotukuka.Sasa hivu munatumia jina ka Mw.kinafiki.Mbona watoto wake hawapewi nafasi ya kumiliki mijimali???
 
siku hizi jamii kunachefua ,badala ya kujibu hoja yake ya kwenda na bendera ya tanganyika ndio mumuenzi mwalimu mnamshambulia mtoa mada

Sawa wewe huwa unajibu tetesi?haraka ya nini?si angeleta habari kamili
 
mbna mnamshambulia mleta mada badala ya mada??

lisu kama ni kweli amejaribu kwenda butiama atakua amekatika mshipa wa aibu au mshipa wa kumbukumbu

kwa shudu alizomtolea Mwalimu JKN anathubutu kwenda butiama

lol
Lisu aende Butiama kufanya nini? na wewe umeamini upuuzi wa huyu kichaa?
 
du hivi kuna siku wasomi wetu wataweza kutusaidia japo tuvumbue kitu chetu wenyewe?
kazi kweli huko ccm uwe umesoma hujasoma ni walewale
 
Tundu Lisu azuiwa na vijana wa Butiama pamoja na wazee kuingia nyumbani kwa mwl Nyerere. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 4/04/2015, hiyo ni kutokana na kashifa zake alizozitowa juu ya muasisi wa Taifa hili wakati wa Bunge la katiba.

Pia,
Vijana wa Bavicha wakiongozwa na mwenyekiti wao wa Taifa waliruhusiwa kuzuru kabri la mwl Nyerere wakiwa wameambatana na Kiongozi wa ukoo wa Brito Nyerere ambaye ni Chief Japhet wanzagi Nyerere. Vijana hao wa Chadema walitembea kwa miguu kutoka mwanza hadi Butiama.

Baada ya kutokea hilo la kuzuiliwa Tundu Lisu vijana walisahau ajenda zao zilizowasababisha watembee kutoka Mwanza kwa miguu hadi Butiama.Wamechukua masaa matatu wakiomba radhi juu ya kauli ya Tundu Lisu.Lakini ukoo huo ulikataa na kumtaka Dr Slaa aende akamuombe msamaha Lisu na kila mtu ajue ila tofauti na hapo Lisu kapigwa marufuku na ukoo huoo pamoja na wazee wa Butiama kufika nyumbani kwa mwl Nyerere.

Kituko kingine, ni pale ambapo vijana hao wa BAVICHA walipojaribu kwenda Butiama wakiwa na Bendera ya Tanganyika, ni kituko kwa sababu inaonyesha ni kwa kiasi gani vijana hao hawapo makini, labda ni kwa kukosa kujitambua na kuelewa nini wanakifanya, wamejikuta wanageuka kituko. MWALIMU NYERERE ndio MUASISI wa Muungano, tena ndio Mpinzani namba moja wa wazo la kufufua Tanganyika, leo unaenda kumdhuru na kujinafi kuwa mnafuata nyayo zake mkiwa mna bendera ya Tanganyika, kama sio UZUZU ni kitu gani..?

Kwa hiyo tukusaidie nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom