Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Alisimika hater mmja akijifariji 😂😂

Yaani AICC hiyo Iko fully booked,hakuna ukumbi mkubwa wa kupata deligates zaidi ya 3,000 kama ilivyo Kigali na Nairobi au Addis Ababa harafu Jamaa anaongea pumba gani?
Tanzania kwanza tumechelewa sana kupata ukumbi kama huo, aicc umejengwa miaka 50+ iliyopita !
Ni sawa nakusema dodoma isijengwe msalato airport kwa vile kuna airport tayari si kichekesho hicho
 
Back
Top Bottom