Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa mbona Unaumia kuambiwa ukweli? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shida yako ni mgeni kuhusu Mwanza na sina uhakika na umri wakof na pia nadhani Mwanza unasikia
Mkuu ukubwa wa mwanza ni in terms of population ndo 2nd ila Kwa mji unaokuwa Kwa Kasi, Arusha ipo ahead of mwanza in distance cheki tu mfano sensa ya 2022 miji inayoongoza Kwa majengo ya magorofa Arusha ni 2nd after DSM
Brother kigezo kikuu cha sehemu kuwa jiji ni population na uchumi(kipato na uzalishaji) wala sio maghorofa.Ambavyo Dodoma haina hata kimoja zaidi ya siasa. Ukiangalia maghorofa basi Dar ni zaidi ya Madrid.By logical thanking watu wengi hawaendi sehemu Bila sababu
 
Chuga ya Kitalii ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://youtu.be/lLpB3I55Lks?feature=shared
IMG_5296.jpeg
IMG_5293.jpeg
IMG_5306.jpeg
 
Wewe ni mjinga sio Bure na hufatilii mambo mengi ya nchi. SGR mwanza inajengwa na itaiasha hivi karibuni jiji la mwanza majengo mapya yanaanza kusimama na soon mwanza haitashikika
Povu

Faraja kwa mgonjwa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kwa hiyo majengo mapya unasubiria sgr? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Povu

Faraja kwa mgonjwa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kwa hiyo majengo mapya unasubiria sgr? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Tulio wewe kenge wa kienyeji mwanza tuna advantage kubwa mnoo mwanza inanukia umjini mjini hapa sio kujifariji Wala Nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nyumba zinasimama Kila kukicha na muda wowote magufuli bridge linaanza kazi ni mwendo mdundo tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom