ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,974
- 89,224
Mama mi 5 tena 🔥 🔥Heko Arusha
Jamaa wa Mwanza walishaga sarenda wako wanajipapatua Kwa Dom 😂😂👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DJRBiO3osCP/?igsh=MXN2emU3aWR3NnF5dA==
Toa makamasi kwamza harafu uje na takwimu Sasa sio kuropokaNi upumbavu na ujinga kulinganisha Mwanza na Arusha.
Arusha inatakiwa ilinganishwe na Kahama
HakikaVibrant Tourist hotspot & modern City of Arusha 🔥🔥👇👇View attachment 3337823View attachment 3337824View attachment 3337825View attachment 3337826View attachment 3337827View attachment 3337828
My Take
Level ya Mwanza ni Mbeya