Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

Katika hyo miji uliyoitaja .ipange kwa kuangalia gdp (pato la mkoa ) ,ndio utajua nani mkubwa kuliko mwenzie ..tumia ramani hii itakusaidia
IMG_20220707_062726.jpg


Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mbeya imeanza kutuangusha,miaka miwili mfululizo wameshindwa kuongeza mapato kuvuka bil.15..

Huu ni uzembe maana tumeshapitwa na Tanga 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-094042.png
    Screenshot_20220803-094042.png
    46.7 KB · Views: 30
Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!!

Mada husika👇🏾

Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza)


Swali!👇🏾
Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi unafuata baada ya (Mwanza and Dar)??

1.Mbeya
2.Dodoma
3.Arusha
4.Tanga
5.ringa


Nikisema mji upi maana yake ni (Kila kitu kilichomo katika mji husika) kwanzia ukubwa wa mji, kibiashara n.k!

Hapo kwa Iringa japo haijapewa hadhi ya kuitwa jiji, but nimeonelea naye nimpachike hapo kutokana na mji ulivyo, na hata mnaoishi mkoa huo, na mliowahi kufika huko mnajua na mtatuambia katika huu mjadala namna mji ulivyoendelea.

(1.Dar es salaam 2.Mwanza) These are another level, acha tuwaweke pending.

Matusi, dharau, kejeli n.k Hapana, anae ona mada hii inamkwaza apishe wengine.

Karibuni sana!

Kitombile
Mapank n.k
Covax
Tafuta majibu hapa ikiwezekana panga upya safi yako 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-094042.png
    Screenshot_20220803-094042.png
    46.7 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220803-092910.png
    Screenshot_20220803-092910.png
    43.1 KB · Views: 25
Hivi TANGA inaizidi nini Iringa za ziada hasa, labda bahari!
Tanga ina bahari, mpaka na inchi jirani, mashamba makubwa ya mkonge, viwanda vya chuma, sabuni na kiwanda kikubwa cha saruji tanzania nzima,
Bomba la mafuta ya uganda kupitia tanga kwenda ulaya,
Utamaduni wa enzi na enzi, ustaarabu wa kale sana, sekondari ya kwanza tanganyika, mbuga ya wanyama pangani hadi sadani, mbuga pekee kati ya chache duniani yenye beach, nk nk nk
 
Acha uzushi ww em kaangalie list ya majiji yaliyoongoza mwaka jana kimapato kati ya top 3 huyo arusha jiji hayupo, na mbeya jiji ilikuwa namba moja, hapa naongelea jiji kama jiji sijaongelea mkoa mzima wa mbeya.

Bado hamuijui Tz zunguken jamn, na mkimaliza kuzunguka someni sana, hii nchi isingekuwa na siasa za kishenzi, mkoa wa mbeya ungefunika takataka zote hizo za akina mwanza na arusha.

Huu ndio ukwel mchungu
Wajenge bara bara ndani ndani huko wanazidiwa hata na Tabora kwa bara bara wao wakipaka rangi kidogo tu huko Isyesye na ile ya Isanga ishakua na mashimo kila siku wanajisifia mapato makubwa wakati Jiji ni vumbi la kutosha hakuna bara bara nzuri za mitaa...
 
Ukitoa Dar,jiji la Arusha ndio inafata.
Kipindi cha Mwendazake aliipotezea sana Arusha,pamoja na covid uchumi wa Arusha ulizorota.
Mama anaufungua mji urudi kwenye hadhi yake.
 
Back
Top Bottom