Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.

Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo

1.Sababu za Kijiografia.

Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).

Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.

2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)

Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..

3.Sababu za Kimazingira.

Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..

4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.

Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..

Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.

Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..
IMG_1328.jpg
 
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.

Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo

1.Sababu za Kijiografia.

Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).
Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.

2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)

Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..

3.Sababu za Kimazingira.

Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..

4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.

Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..

Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.

Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397Naunga hoja kwa asilimia 100
 
Back
Top Bottom