Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani usiogope ruhusu tumewapa ya kuleta miji yenu yote ishindane na dsm naona sasa unaleta na nchi zingine ziwasaidie
 
Nairobi mpaka wawe na usafiri wa jiji classics kama wa DSM sijui itakuwa mwaka gani , nimekuwa Nairobi matatu ni uchafu tu ikifika jioni watu wote wanakaa kwenye pub za mjini ambazo mostly zipo first floors ya majengo mengi ya katikati ya jiji wakiwa wanasubiria foleni ipungue
Kuna moja nilikuwa naipenda kukaa inaitwa edge ila nikagundua watu pia wana hali ngumu za uchumi mtu mtu bia akinywa analamba mpaka mda wa kuondoka kanywa moja tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jesus Christ. ...why would one take more than one pint on a weekday while chillin to go home..........do you even listen to yourself? !!!!smh. .....most Kenyan clubs are in the neighbourhoods in Eastlands westlands Lang'ata ongata rongai kiambu athi river or Thika areas. ......most of those dingy ones in the CBD are probably brothels too.
 
Hahaha ety umekua Nairobi????? Wewe ufikaje Nairobi na bado uko na ufala.....nyie pia mwahitaji superhighways na infrastructure Kali kucompete nai
 
Least Developed countries. ...hehehe. .....
Tanzanians just argue out of jealousy and emotions but facts remain facts.. ..mnakunywa kwa mama pima wa vibandani tu....
Kwanza those average clubs kadoda posted here are the best that you've got in your 'overhyped trophy city'!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…