si zinaletwa au pia hutaki zije electric bullet train ππππ
Upo uwezekano Kenya inawaambukiza virus wakati Wa kuwapima au wanadanganyana huu ndio ukweli [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
hua nasema mm hakuna mtu asiekua na dhamana kama mkenya wanaroho mbaya sana hao jamaa ikiwa wao kwa wao ni maadui wakubwa itakua nje ya waoUpo uwezekano Kenya inawaambukiza virus wakati Wa kuwapima au wanadanganya
Send by APOLO 1
Moja kati ya bahati mby ni nchi kuwa jirani na kenya kijiografia.hua nasema mm hakuna mtu asiekua na dhamana kama mkenya wanaroho mbaya sana hao jamaa ikiwa wao kwa wao ni maadui wakubwa itakua nje ya wao
Ila nyie ndugu zetu burudani sana..[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1450226
Me nlikuwa naangalia mashine nyuma paleJNHPP
Marine One sio?Me nlikuwa naangalia mashine nyuma pale
Wataachaje kuwa na roho mbaya wakati majority wanaishi kwenye slums. Kuishi tu kwenye zile slums za nairobi ni lazima mtu tayari anakuwa ameshaathirika kisakolojia hivyo roho mbaya automatically lazima awe nayo tu maana yale si maisha ya binadamu wa kawaida!hua nasema mm hakuna mtu asiekua na dhamana kama mkenya wanaroho mbaya sana hao jamaa ikiwa wao kwa wao ni maadui wakubwa itakua nje ya wao
We angalia tu hivyo video dakika ya 2:30 hata huyo mtangazaji anaonyesha kukata tamaa na hicho kichwa cha mbogo! π πHebu compare
VS
ipi nginjanginja?
Electric bullet train [emoji23][emoji23][emoji23]si zinaletwa au pia hutaki zije electric bullet train [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shithole country!Ila nyie ndugu zetu burudani sana..πππ
View attachment 1450226
Lazima tutawapima tu..Upo uwezekano Kenya inawaambukiza virus wakati Wa kuwapima au wanadanganya
Send by APOLO 1
hutaki tuwe wakwanza kumilikiπππ