Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
U will be 6 feet below the ground by then!When this towers will happen to be constructed, NBO will be lit 🔥 View attachment 1449118will be lit
View attachment 1449132View attachment 1449133View attachment 1449134View attachment 1449135View attachment 1449136View attachment 1449137View attachment 1449139View attachment 1449141View attachment 1449143
alaf wanahangaika na tanzania😂😂😂
asante kwa renders 😂😂😂😂When this towers will happen to be constructed, NBO will be lit 🔥 View attachment 1449118will be lit
View attachment 1449132View attachment 1449133View attachment 1449134View attachment 1449135View attachment 1449136View attachment 1449137View attachment 1449139View attachment 1449141View attachment 1449143
Kwa ss ndo wamecharuka kutuchafua ila hawataweza, zaidi wataumia wao tudo you smell something here?
hiv Tanzania kuna vitu gan tunavitegemea kutoka kenya? (just a simple qn, no need to argue)
Wakenya co ndugu zetu tufunge mkataba nao km vp cz hawana impact yyte kwetuHii corona ipo lakini naona wazungu target ilikua kuuza chanjo haswa afrika ndio maana nchi zinazofanya resistance kidogo wanazizungua . Hapa dawa na kufunga mpaka haswa kenya wanatumika vibaya . Jana nimewaonea huruma sana wafanyabiashara perishable goods zinaoza mipakani. Ni hasara kubwa . Hawa dawa yao kuwafungia vioo hili wajue mzungu hana urafiki wa kudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona bado inapigwa rangi angalia hiyo fito ndeefu! Hii nyumba haikaliwi bado!Kwamba huu ni mjengo wako na huyu ni ww [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una vituko sn wwView attachment 1449217
hongera bro 😃😃👏👏👏 tupe ajira bossBasi na mm hyo hapo nyuma ni mijengo yangu na huyo hapo ndo mm mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1449233
Ila kwa kutumia Rwanda air hapa tunamuua jirani mkongwe 😁😁Resource zipi ambazo tunasafirisha nje kwa ndege?, kumbuka hao Samaki na Nyama havitoshi kujaza ndege kila siku, pia kumbuka ni wafanyabiashara ndio wanaosafirisha sio Serikali, kwahiyo wanaamua kutumia ndege wanazotaka, watachagua ndege yenye unafuu wa bei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Lami ganiCan a Tanganyikan please tell me where this photo was taken in Nairobi!?
View attachment 1449013
Wana hakikisha wanaichafua Tz kwa korona Kwani wamepata mwanya ili dunia itutenge,lakini tupo imarado you smell something here?
hiv Tanzania kuna vitu gan tunavitegemea kutoka kenya? (just a simple qn, no need to argue)
Hii ni Lami gani
Ila siku zote anaeleta chokochoko anaumbuka vibaya sana mwishoniWana hakikisha wanaichafua Tz kwa korona Kwani wamepata mwanya ili dunia itutenge,lakini tupo imara