Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule siku hzi anakuja kwa kusikilizia akiona kuna moto anaondoka siku akikuta kumepoa ndio utamuona
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] cku hz wana adabu sn, mwengne ni komora hatoonekana humu wiki hii mana fimbo za leo hawezi hata kukaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] cku hz wana adabu sn, mwengne ni komora hatoonekana humu wiki hii mana fimbo za leo hawezi hata kukaa
unajua shida ya hawa ukiwaambia neno watanzania wanamiliki nyumba zao na ardhi kwao ni kitu cha ajabu sana yani wanaona jambo ambalo haliwezekani kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani culture ya tanzania ni yakipekee sana duniani to own a house or a land ni kitu rahisi sana kuliko kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…