Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu wanataka kuiga kutoka kenya sekta ya barabara mijini..

Wameona thika na wao wakaamua kujenga kituko, sai nako hko kwao eti wameanza kupanua barabara..

Waje wachukue somo

Sent using Jamii Forums mobile app
hatujaona bado barabara ya kuja kuchukua somo bado sana vp mlivokuja kuchukua somo la BRT mlijua BRT ni sawa na kula bajiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Bado unaumia kuskia f2 ni club ya watoto zama zile[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali, ukija kenya fuatana na wajanja wakufundishe usije ukapigwa km yule mwenzenu aliyeuziwa kachumbari[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
F2 nayo ni club πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli muna safari ndefu sana
 
Unatafuta pa kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ya nini zile mbwembwe zote halafu mkashindwa kuwalipa kwa wakati..

Tena tusubiri mda tu, utasikia kuna wengine hawajamaliziwa hela zao

Sent using Jamii Forums mobile app
wanalipwa kwa wakati baada ya kuhakikiwa huwez lipa madeni hewa tu lazma wathibitishwe ndio walipwe, magufuli halipi madeni hewa never ever
 
hatujaona bado barabara ya kuja kuchukua somo bado sana vp mlivokuja kuchukua somo la BRT mlijua BRT ni sawa na kula bajia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

Naona hyo sindano imeingia mahala pake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Halafu katika hyo videoa umeona kariakoo ngapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…