Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mwambie wananchi wa kisesa mtaa wa mwahuli mwanza tunaongopewa na watendaji wa tanesco miaka sasa tunapewa ahadi ya kuletewa umeme ambao upo mita chache tu kutoka kwenye kitongoji chetu lakini hakuna lolote. Kama wanataka hela Waseme bana sio kutoa ahadi kila siku bila utekelezaji. Inauzi sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…