Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani akiongea Magufuli Watu wanatamani wasikie ameongea nini, Wanatafuta translates kwa kila namna, sasa Uhuru na Ruto kutwa Kubwabwaja Kingereza kibovu, no one cares [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Magufuli speaks Swahili only but catching up the whole world attention, kuna Rais anabwatuka kwa English mwanzo mwisho lakini hata haripotiwi na gazeti la Malawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani akiongea Magufuli Watu wanatamani wasikie ameongea nini, Wanatafuta translates kwa kila namna, sasa Uhuru na Ruto kutwa Kubwabwaja Kingereza kibovu, no one cares [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, et

Akiongea na watanzania ukanda huu wote wanamsikiliza
 
...na kumcheka deadly[emoji23][emoji23], mzee anachemsha kila uchao., mbio za sakafuni huishia ukingoni., the face of Tanzania as at now., afadhali Nyerere mara mia., hawa wana ccm wa sasa wali derail kitambo, muimbaji Faustin Munishi kawaimba., kwa kweli mumeoza mbaya, hamukombolewi hivi karibuni, haswa masikini walio wengi na fikra finyu kama wewe, with blind patriotism syndrome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaona Gere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…