Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa nilitaka kusema hili kwamba czani km hzo pesa zitakuwa za bure, ila cna shaka na Mkuu
 
inside kilimanjaro international airport[emoji122][emoji1241]
View attachment 1439586View attachment 1439587

KIA Terminal will remain my best Airport Terminal in EA, I like its simple, classic and cozy atmosphere. kuna siku nimekaa kwenye hiyo restaurant/bar nagonga vyombo hadi ndege kidogo iniache, yaani nilikuwa sitamani kuondoka. Ningeshauri Airports za kati kama Mwanza, Mbeya na zingine zote zingechukua hii design ndio ikawa standard Terminal Building.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani wote tuna test sawa? How about uniqueness? Khaa wacha hiyo maneno wacha architects waweke ujuzi wao!
 
Tanzania haijaomba mkopo, JPM amekataa hio habari, amesema kama wako na nia nourri wafute madeni au riba ya mikopo ya nyuma then serikali zitumie hela za ndani zilizotakiwa kulipa mikopo ya nyuma kupambana na economic downturn as a result ya Covid-19.

JPM yuko vizuri upstairs, kwenye mambo ya hela hana tofauti na wayahudi🙂

 
I have been to Mombasa, Nairobi and Kisumu and thought I was in the fourth world lol. By the way is Kenyan who started this stupid thread, pure childish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…