Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mjinga tu. Unaongelea Kenya wakati wewe hujui hata kinachoendelea kwenu kwa siku sita sasa
mm nakuonesha ww mpuuzi ambae ulikuja hapa ukashabikia au umesahau leo?? ohh nye nye nye ohh sijui kwann magufuli yupo chato leo unajitia mwendawazimu
 
mm nakuonesha ww mpuuzi ambae ulikuja hapa ukashabikia au umesahau leo?? ohh nye nye nye ohh sijui kwann magufuli yupo chato leo unajitia mwendawazimu
Ni lini nilizungumzia huyo mzee wenu? Kuwa kwake chato inanihusu nini? Nilikuuliza mbona unawashwa na data za Kenya wakati wewe hujui kinachoendelea kwenu karibu wiki moja sasa?
 
There is no where the whole of Tanzania where you can find something beautiful, relaxed coastal kama Lamu in Kenya.
 
Ni lini nilizungumzia huyo mzee wenu? Kuwa kwake chato inanihusu nini? Nilikuuliza mbona unawashwa na data za Kenya wakati wewe hujui kinachoendelea kwenu karibu wiki moja sasa?
ww juzi uliongea nn humu ndani usijifanye mwehu umesahau sindio, ulikua ukishabikia nn acheni chuki na tanzania hamuiwezi na hamutaiweza mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…