WHO au pia huiamini ππππKila kitu tunaweka wazi, expose a snake to kill it, ficha maradhi ufe. Tanzania ole wenyu! #corona #covid19
πππππ umezikata shanga zote bro noma aisee ungefanya kuvua taratibuSasa unataka tuone kundule la kipindupindu wakati hatuna πππ
Mpo namba tatu Africa.
Cholera worldwide overview
hebu nioneshe hapo?? kwanza nini maana ya uswazi sijakuelewa maana yake ni nini??? hebu leo nifundishe mmKumbe katikati unakutana na uswazi ndio manake unakosa picha ya kutupia kw juu[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi Edward Wanjala ππππ
Labda mchina wa Kibera, tuna miaka takribani mitano bila kuskia habari za Cholera. Huwa tuna utaratibu wa kufanya usafi katika mitaa kila mwisho wa mwezi nchi nzima.Cholera imekua Tanzania majuzi tu, na bado ipo, hamtangazi mapungufu yenyu, ona mchina kawatangaza[emoji116][emoji116][emoji116]
si mm nimeshangaa pia πππ alaf wao kila mwaka lazma wasugue gaga na cholera na sio kwamba inawaacha salamaLabda mchina wa Kibera, tuna miaka takribani mitano bila kuskia habari za Cholera. Huwa tuna utaratibu wa kufanya usafi katika mitaa kila mwisho wa mwezi nchi nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatarudi tena kuongelea cholera Tz [emoji3][emoji3][emoji3]WHO au pia huiamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
Cholera worldwide overview
Hawarudii tena km unabisha ngoja uone, wakija hapa watajifanya kupotezea wataanzisha mada mpya, Tz bhn baba laooo [emoji3][emoji3][emoji3]Sasa unataka tuone kundule la kipindupindu wakati hatuna [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpo namba tatu Africa.
Cholera worldwide overview
Aibu sn, yn 2020 bado mnapambana na cholera [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizo ni za wazungu [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi hapa chini ni za wahindi [emoji23] [emoji23] View attachment 1438019View attachment 1438021View attachment 1438022View attachment 1438024View attachment 1438025View attachment 1438026View attachment 1438027View attachment 1438028View attachment 1438029
Kwala ICD officially open!
Alishaepa πππushamvua chupi tayari πππππ basi mvue taratibu bro
Wana akili fupi halafu huzani kila mtu ana akili fupi kama wao ππππππππ umezikata shanga zote bro noma aisee ungefanya kuvua taratibu
Wameepa kimya kimya πππHawarudii tena km unabisha ngoja uone, wakija hapa watajifanya kupotezea wataanzisha mada mpya, Tz bhn baba laooo [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuliwaambia 2020 ndiyo mwaka wao wa maumivu, yn waishukuru sn hii covid-19 la cvyo ilikuwa tunamaliza mchezo mapema snthe mighty Kwala ICD. bonge la sindano hii [emoji382][emoji382][emoji382]
View attachment 1438345View attachment 1438346View attachment 1438348View attachment 1438350
Umekasirikahebu nioneshe hapo?? kwanza nini maana ya uswazi sijakuelewa maana yake ni nini??? hebu leo nifundishe mm
Ndio nilikua nakuelimisha sasa, vitu km hvyo achia hao wanaojiita makamanda wa mitaanisikutegemea kusikia kijana kama ww unaongea nonsense kama hii mm sio sharobaro wakuvaa cheni au upuuzi wowote na infact nikikwambia nina miaka 8 sijakanyaga club yoyote unaeza amini??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makamanda wnyw c ndo hawa hapa, yn mnataka Magu achukue hatua km anavyofanya uhuru never [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Ndio nilikua nakuelimisha sasa, vitu km hvyo achia hao wanaojiita makamanda wa mitaani
Halafu hilo la club lazima ulifanyie kazi, na pia inategemea unaenda club gani
Sent using Jamii Forums mobile app