Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo hamtaki kuongelea mambo ya Covid tena na nyinyi ni nchi ya kuigwa!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vyuma vimekaza kweli
Mcpoteze maboya kuhusu covid-19 tukutane kwny uzi wa covid-19, hakuna shirika duniani likawa na crew ya kigeni km hii zaidi ya kunya land[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Heri mjinga anaweza jifunza akawa mjanja,
Vipi nyie wapumbavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpumbavu hasaidiki hata ufanye nini.
wametajwa kwenye baa la njaa mwaka huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na mkombozi wa chakula east africa and SADC countries ni tanzania pekee sasa sijui nani mjinga kati yetu sisi na wao
 
wametajwa kwenye baa la njaa mwaka huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na mkombozi wa chakula east africa and SADC countries ni tanzania pekee sasa sijui nani mjinga kati yetu sisi na wao
Watakula maua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hakuna nchi isiokua na janga la corona tunachowahurumia nyinyi muna majanga matatu

1.corona
2.hunger
3. locusts

huu mwaka lazima matokeo yajibu ili tuone uhalisia wa GDP upo wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si unaona vile vyuma vimekaza. Unaguza hii unawacha, kazi ni kutapatapa tu. Typical of bongalalas like you anyway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…