The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Sio tu kuwekeza kwenye ruti za ndani bali pia Tz iko vzr kwny local market, watu wanapanda sn ndege humu, kenya wanategemea ruti za nje cz za ndani hamna soko[emoji3][emoji3]Afadhali zetu tunazimiliki wenyewe kwa hiyo tuna maamuzi ya kupiga ruti popote, ,
Vipi hapo Kunyaland [emoji23]
Sasa kipindi hichi cha corona unataka ziende wapi wakati kwa ruti za ndani inapiga mzigo wa kutosha [emoji23]
Hii ndio raha ya kuwekeza kwenye ruti za ndani hususan kipindi hiki [emoji23]
Na zile za Dar?Tena mostly ninazo post ni za vijijini.
Nimeshapost nyumba 100 kidogo na bado ndio kwaaanza, so tuliza wenge. 😅😅😅Na zile za Dar?
Hatukurupuka ovyo wala kufanya vitu vya hasara [emoji23][emoji23][emoji23]Sio tu kuwekeza kwenye ruti za ndani bali pia Tz iko vzr kwny local market, watu wanapanda sn ndege humu, kenya wanategemea ruti za nje cz za ndani hamna soko[emoji3][emoji3]
Alaaa!!unamaanisha kile kibanda cha kule mwituni...sasawaIcho keshakupa ya mengi ghorofa 3 au unafikiri nina muda wa kujibu kitu kama kile wakati jibu ushapata?
Wakenya niliwaambia huu mwaka utakuwa mbaya na mgumu sana kuanzia huu mwaka lazima mkili kuwa Tanzania ni baba la baba kila goti litapigwa tayari KQ imesha kufa Rwanda air nayo chali sgr imekufa kwa sababu ya korona na deni linaongezeka mchina kuchukua bandari yenu miaka michache ijayoPunguza kulia jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo tena huamini media za kenya, imekuaje jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn anti komora ni muoga sana, km unatupia picha tupia zen tupambanishe na za huku, ss unarusha kapicha kamoja unaanza kujistukia, we ni gani[emoji3][emoji3]Za wazungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1431028View attachment 1431029
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupa na majina kabisa ya hvo vijiji basiTena mostly ninazo post ni za vijijini.
Wewe ni me au ke ?
Usiogope anty Corona 😅😅😅😅
Mazeee..si unajua dreamhouses hzo ni permanentKama Dar kwenyewe ndio mmejaza midreamhouses sasa vijijini kwenu watu wamejenga nini?
Ww kila siku unatoa boko humu na unakamatwa punguza mihemko[emoji3][emoji3][emoji3]
Nshachukua number hapo mwana, naomba tuachiane gap 😅😅😅Wewe ni me au ke ?
Send by APOLO 1
Kwn atcl imepata faida lini mwishoGet rid of ur nincompoop here, so u want our planes to go internationally even though local market is going on well, how abt ur KQ? doesn't it fly internationally? How much profits has it got so far? You just bragg about flying internationally for nothing poor kunyans.
Kwn mwakani bado tu[emoji1787][emoji1787]Wakenya niliwaambia huu mwaka utakuwa mbaya na mgumu sana kuanzia huu mwaka lazima mkili kuwa Tanzania ni baba la baba kila goti litapigwa tayari KQ imesha kufa Rwanda air nayo chali sgr imekufa kwa sababu ya korona na deni linaongezeka mchina kuchukua bandari yenu miaka michache ijayo
Send by APOLO 1
Nikutupia eneo zima mtaanza kulia liaMbn anti komora ni muoga sana, km unatupia picha tupia zen tupambanishe na za huku, ss unarusha kapicha kamoja unaanza kujistukia, we ni gani[emoji3][emoji3]
Boko gani hilo na wakati tunatuma picha moja moja za mansions[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww kila siku unatoa boko humu na unakamatwa punguza mihemko[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona unaona wivu na darKwhyo kiufupi mkichanganya na za familia dar kutakua na nyumba 5m[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Read btn the line don't be fool nigger,Eti does KQ fly internationally? I don't even need to answer that stupid question. Talking of profits, how much did ATCL make in profits last year?