The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Dawa yako hii apa pambana nayo ukishindwa lia [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Wewe ukitazama vizuri wazungu walijenga hizo estates?., leo mumeanza kujenga munadhani mumefika mbinguni, Kenya passed there long ago., na bado.
Ok, mbona hazibebi abiria?tulinunua zibebe abiria tena cash deal vp kwenu zile ndege tatu chakavu munazomiliki ziko wapi[emoji16][emoji16][emoji16] loss ya mwaka huu ya kq itakua yakidunia
Kuleta picha moja moja sio desturi yangu, lkn wacha nikuonyeshe sample kidogo tu..siwezi poteza mda kupekua pekua nyumba moja...Maaan Jaribu kwenda na tune
Sisi hapa tunaleta vitu unique ambavyo is for the first time vinaonekana hapa JF, wewe unatuletea vitu ambavyo each second unapost
Please bring different ideas
za investors nyumba yako iko wapi??πππππEstates za wazungu π π π π
View attachment 1430148View attachment 1430149View attachment 1430151View attachment 1430152View attachment 1430153View attachment 1430154View attachment 1430155View attachment 1430157View attachment 1430159
Wazungu ni watu wazuri sana, waendelee hivyo hivyo wala wasichoke
zenu zile tatu chakavu zina beba nini kunguni au???ππ hapo tunasubiri loss ya mwaka huu aisee πππ
LOL na kweli hapa umepoteza muda na bundle pia, kutuletea vituko π π πKuleta picha moja moja sio desturi yangu, lkn wacha nikuonyeshe sample kidogo tu..siwezi poteza mda kupekua pekua nyumba moja...
Anyway, hzo bi za wazungu
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1430368View attachment 1430369View attachment 1430370View attachment 1430371View attachment 1430372View attachment 1430373View attachment 1430374View attachment 1430375View attachment 1430376View attachment 1430377View attachment 1430378View attachment 1430379
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!za waxmzungu hzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]LOL na kweli hapa umepoteza muda na bundle pia, kutuletea vituko [emoji28][emoji28][emoji28]
Wala hujaongopa