Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I can see you fear mighty Thika,unaona venye ilitoa jasho iringaπŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚unaanza kujifariji, Thika haikutamba kwa chochote mbele ya Iringa πŸ’ͺtatizo lenu kutaka sifa zitawaumbua
 
Isingekuwa COVID 19
Mechi ya soka Dar vs Nairobi
Ingepigwa sherehe ya pasaka
Dar Team
Goal keeper . Karibu na Gymkhana
2.
3.
.
Nairobi wangechezea kichapo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hali mbaya kwa majirani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ ohh sisi ushuzi wa GDP hii corona kwa upande mwengine imekuja kuonesha sura ya ukweli ya maisha yenu

 
naona wengine wanapinga wengine wanakubali,

anyway, uzuri ni kwamba uchumi wa nchi yetu unaendelea kama kawaida, utalii na ndege tu ndo zimeyumba. huko kwao vitu vingi sana vimekwamba
Wanasema lockdown ndio solution, ss tuwaache tu, cc tutaendelea kumuomba Mungu huku tukichukua tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…