Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LOL 40 km kwa tinny and slummy Nairobi tayari upo kwenye County nyingine maporini๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ njaa ishapiga hodi kwenye failed state ohh sisi GDP sasa haipo tena
 
A

Au labda usimame kwenye kilele cha hicho kichuguu chao ndio unaweza uona mlima Kilimanjaro! ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
kwa macho ya kawaida huwezi ona mlima Kenya labda kwa chombo maalum na hata raia wa Nairobi hawaja wahi ona mt kenya kwa maisha yao, wakiwa hapo. Acha kuvimba
 
msaidie mwenzako kuleta official source kua nairobi ina CBD nne siku mutapata mm niwe wakwanza kufunga account jamii forum๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Apana si vyema ufunge account, tunataka ubaki ili uumie kabisa,nataka kuona ukilialia hapa kwa kichapo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Yah kipo kwenye mlima Kenya,inaonekana huna ufahamu
 
Apana si vyema ufunge account, tunataka ubaki ili uumie kabisa,nataka kuona ukilialia hapa kwa kichapo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
siku utaleta official source nitafute mimi niwe wakwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwamba nairobi ina CBD nne uhehehrhehehehehe
 
Apana si vyema ufunge account, tunataka ubaki ili uumie kabisa,nataka kuona ukilialia hapa kwa kichapo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
kwamba nairobi ina CBD nne ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sijawah kukutana na mpuuzi toka hii thread imeanzishwa kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ