Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa hyo video itakuwa ya mda kdg mana kuna maeneo imeonesha hapo hata reli bdo wkt kiuhalisia reli ishapita
 
Nmekuwekea picha jana kdg tu ukapagawa hapa na wala hujawahi kuziona [emoji3][emoji3]
Hahaaa!!zile ndio zilikuwa picha za hayo maeneo sio...basi nipe na majina yake kabisa manake km ile mijengo hta burundi ipo...
Tunataka mtaa sisi na majina yake wala sio nyumbo moja moja ambazo hta south sudan na somalia utazikuta..

Halafu hapo kw majina mbna unakwepa[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa jamaa naona kama wako slow, sijui shida ni nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui aisee kazi bado ipo nyingi nadhani wanapaswa kuongeza wafanyakazi! Nadhani kazi iliyobaki si chini ya miezi 6! sijui wamepewa vipi phase II ni kama inawa-distract na kumaliza phase I! Kuna around 40 km bado kabisa yaani ndo kwanza wameanza ku-clear site!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ