Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sukari sai mnanua tsh4500[emoji1787][emoji1787]tanzania maisha rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
club D arusha naomba nioneshwe ya mombasa au kisumu nicheke plzπŸ˜‚πŸ˜‚
Edward Wanjala wasaidie ndugu zako nioneshwni ile florida ya mombasa inayonuka mpaka jasho za kunguni😁😁😁😁
 
Hii barabara ni ya lami,mbona iko brown...low quality yaani ni kama barabara ya udongo
Hzo ndiyo barabara zao ni very low quality huwa wanapigwa na wakandarasi ktk kila project mwishowe wanakuwa watu wa kupaka rangi barabara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] (usizani ni utani hiyo ndiyo hali halisi ya kenya)[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
 
Ndio maana barabara zao zina mashimo sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…