Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na uelewa wako kuhusu maendeleo ni mdogo sana...
Stendi sio kigezo cha maendeleo ya sehemu husika

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL stand means people and business interaction

Nimekua nikiagiza mizigo ya mamilioni ya shillings kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, na Kuna wengine hawawezi kufanya biashara bila uwepo wa stands

Hapo sijasema wenye lodges huko stands na ma hotels

Kiufupi stand mpya ya Dar ikikamilika ina uwezo wa kukusanya revenues za kutosha kuhudumia zaidi ya nusu ya city budget.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…