Niliwaambia huu mwaka utakuwa mbaya sana kwa Kenya na bado mambo yataziki kuwa simambo Kenya KQ died ,sgr Kenya died,viwanda died,ajira died, covid imesimamisha miraxi ya ujenzi Kenya, uchumi died,
Hujaacha tu kuokota mapicha Google, Mods inabd wawe makini na hawa watu waongo sn wanaharibu uzi, Dar gn ina dongo jekundu? Piga ban wahuni km hawaDark es sluum tunayo hatuna? [emoji108]View attachment 1413456
Wacha kulazimisha mambo ww, three level gn hyo na km hyo mliambiwa ni three level bac mlipigwa km kawaInterchange three level Kenya ilijengwa 2013. Continue dreaming
Now a contract has been awarded for an overpass all the way from Eastlands to CBD.
Another one from JKIA TO Westlands. mtashangaa nyinyi. sisi huwa hatusemi sana, hadi picha zianze kukam.
View attachment 1413466
View attachment 1413467
Deni vp mmemaliza?[emoji3][emoji3]
Hapa ni wapi dar hebu tuambie mushaanza kuokota picha za google😂😂😂😂😂Unaishi wapi hapa,haha💉🇹🇿
View attachment 1413546
Unaishi wapi hapa,haha💉🇹🇿
View attachment 1413546
Na mwambie na hapo akuthibitishie ni wapi dar 😂😂😂😂Dar sehemu gani kuna udongo mwekundu?
Big up uhuru wkt kawaachia bomu [emoji3][emoji3] mwenzenu maisha bora anajua hata nchi ikiuzwa hana shida, ss nyie subirini muone wachina watavyowashika nyeti zenuKitu noma,Kenya na Uhuru tneweza kweli,big up uhuru
Dar katikati ndo wapi hapo [emoji3][emoji3]Iko Dar katikati,,
Nimeona render na ushuzi 😂😂👇👇 weka picha nzima tuone hapa mumejenga nn
Okoteni na zingine museme dar yani mbili tu kwan hakuna za congo na nigeria😂😂😂😂Nnesema Dar katikati,karibu na posta,haha
Siku wakipata rais mwenye uchungu na Kenya hayo madudu yatakayo kutwa,Big up uhuru wkt kawaachia bomu [emoji3][emoji3] mwenzenu maisha bora anajua hata nchi ikiuzwa hana shida, ss nyie subirini muone wachina watavyowashika nyeti zenu
Unaishi wapi hapa,haha[emoji382][emoji1241]
View attachment 1413546
Mpanda bus stage😂😂👇👇 fikeni hapa mishindane na tanzania
Msaidie mwenzako akwambie hapa ni wapi dar ukipata nitag mm
Anko anaekuuzia bangi mwambie awe anaikausha vizuri..Bana hata msichekeshe na hizi drama zenu za kibongo za high School. Nairobi Terminus is a whole Karioko, and posta combined.
View attachment 1413470View attachment 1413471