Unajua maana ya neno shags jomba, hta kakamega ni ushagoo[emoji1787][emoji1787]Eti kenya ina hospitali ushago alaf iwe na vifaa mamaee ukipata hospital ushago ina vifaa kenya nzima munitag hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaha Geza Ulole njooni mujionee leo aga khan ya dar imehamia mombasaπππ
Kakamega sio ushago ww usinifanye mm mpuuzi nimetembea karibu kenya mzima ππ kakamega ni county kama county zingineUnajua maana ya neno shags jomba, hta kakamega ni ushagoo[emoji1787][emoji1787]
Kujeni muone huyu msee
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wa hospitali kamsaidie mwenzako kupost tweets, hapo kw ferry bado nimewakamata wenzito hapaMnapoteza muda kubishana na mbumbumbu!
Apitie kwenye hizi nyuzi mbili atoe matongo tongo.
Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals - JamiiForums
Mwanza ferries vs Kenya ferries - JamiiForums
Nakwambia leta hospitali ya ushago kenya nzima yenye vifaa mm nafunga acc jamii forum ukipata mark my wordsπππ
wacha ufala wa kuweka picha za hopitali za Tanzania na kudai zipo Kunyaland!
Mwenzako kashachanganyikia ππππ aga khan ya dar ishafika mombasa tayar
Hii we chizi kweli sasa unafikiri mechi za FIFA huku bongo zinachezwa wapi???
πππππ hua wanaokota picha za google ovyo tuwacha ufala wa kuweka picha za hopitali za Tanzania na kudai zipo Kunyaland!
Gai, kumbe hujui kitu msee, counties zilikuja juzi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kakamega sio ushago ww usinifanye mm mpuuzi nimetembea karibu kenya mzima [emoji23][emoji23] kakamega ni county kama county zingine
Na wewe usiejielewa utamkamata nani humu?Uzi wa hospitali kamsaidie mwenzako kupost tweets, hapo kw ferry bado nimewakamata wenzito hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kumbe hujui maana ushago..Nakwambia leta hospitali ya ushago kenya nzima yenye vifaa mm nafunga acc jamii forum ukipata mark my words[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe usiyufanye humu wapumbavu hzo ni county centers yani hakuna kitu utanidanganya wewe mark my wordsπππ nimetemebea almost kenya nzima hio utanidanganya nn weweGai, kumbe hujui kitu msee, counties zilikuja juzi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vihiga pia ni ushagi
Meru pia ni ushago
Kiambuu pia ni ushago
Othaya pia ni ushago
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kitu utanidanganya weweπππGai, kumbe hujui kitu msee, counties zilikuja juzi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vihiga pia ni ushagi
Meru pia ni ushago
Kiambuu pia ni ushago
Othaya pia ni ushago
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia hakuna kitu utanidanganya weweπππππTatizo kumbe hujui maana ushago..
Makueni pia ni ushago
Machakos pia vile viel..
Naona leo nakupa somo kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Leo agakhan hospital ya dar imefika mombasa ππππππππ
View attachment 1409678
Si hua nawaambia hapa wanaokota picha google ovyo πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
wacha ufala wa kuweka picha za hopitali za Tanzania na kudai zipo Kunyaland!
Ziko wapi za mombasa na kisumu tucheke hapa ππππNimeweka kimakosa lakini hiyo ni ndogo sana ya kupigia kelele.....Outspan hospital NyeriView attachment 1409703View attachment 1409704
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna hyo ya dar mandhari yanatidha hvo!!wacha ufala wa kuweka picha za hopitali za Tanzania na kudai zipo Kunyaland!