Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida ndoto za kichaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli safari hii mumekutana na fundi anaejua siasa namaendeleo yani mpak munatia huruma πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

mumebakia kurusha ngumi za hewani
Tz bado sana,hamtuwezi kwa ports capacity
 
Tz bado sana,hamtuwezi kwa ports capacity
Wakat dar imeanza kuwapumulia kichogoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huku wateja wakikimbia mombasa na kuja dar nakwambia magu ni fundi wa siasa na maendeleo kawabana mpaka hamuna hamu
 
Wakat dar imeanza kuwapumulia kichogoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huku wateja wakikimbia mombasa na kuja dar nakwambia magu ni fundi wa siasa na maendeleo kawabana mpaka hamuna hamu
Haha bas leta new capacity this year we do comparison,pia Mombasa inapanuliwa kaka,it seems hauna copy haha
 
Asante kwa kupost picha ya nchi za watu na asante kwa kuleta render projectπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa ndoto za mchana tu hamujambo
Haha kila kitu huanza kwa rendering,soon it will be a reality
 
Naona zimeingia vyema sasaπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ nilitegemea hilo
Kweli bro naona zimekuingia vyema Tena tatu.
Kama kawaida ndoto za kichaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli safari hii mumekutana na fundi anaejua siasa namaendeleo yani mpak munatia huruma πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

mumebakia kurusha ngumi za hewani
Mpo huko chini karibu na miguu ngumi haziwezi kawapata, Yani tunatafuta wa kupambana naye tunamkosa, Ethiopia kidogo anajaribu na ukumbuke Ethiopia namba mbili ukanda huu...waliwapiku na kuwatupa namba 3 wakati ile yetu ya 1 tumeishikilia Hadi Yesu atakaporudi.
 
Mumeshikilia no 1 ya poverty na GDP inayonuka ushuzi wa madeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

juzi naskia mumeanza kumtukana magufuli kwann haungani na nyie juu ya kufunga mipaka kwaajili ya corona😁😁

hata pesa ya kuhudumia locusts hamuna munasubiri wahisani watoe sadaka alaf munakuja hapa sisi GDP πŸ˜‚πŸ˜‚ mavi ya kunguni
 
Upper hill of course,every company is relocating their HQ there,and new companies are investing there too
Is upper hill CBD??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ama kweli jubilee imewafikisha pabaya sana
 

mda nyuma kidogo ilikuwa hiv
1 Kenyan shilling = 24 Tanzanian shillings

sasaiz
View attachment 1407794

ntajipa kazi ya kufatilia hii kitu baada ya mwezi mmoja au miwili hiv
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] natumai two months to come itakuwa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

1ksh = 20 Tshs

Whilst two years later will be like[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

1ksh = 10 Tshs

And, Five years after today, the game will be [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

1ksh = 1.5 Tshs

Na km wasipoamka mapema 10 years after today ngoma itakuwa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

1Tsh = 2 kshs

Km mnabisha nyie subirini muone maana hyo exportation tutafanya ktk kipindi cha hii miaka 10 ijayo, hakuna nchi ya EA itatugusa, hvyo nategemea dafu kupanda zaidi kulinganisha na pesa za nchi jirani.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…