πππππππwacha nimsaidie kidogo, vitanda vya ICU ni kwa ajili ya wagonjwa wa ICU halafu hvyo critical care beds ni kw ajili ya wale wagonjwa amabao wako in critical condition[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Worry out Dr BRTπππππ
View attachment 1405392
Munatandika beds kwenye wodi munaita ICUππππ muna safari ndefu sanaThe later is called HDU (High Dependency Unit). Wako nazo nane tu in the entire country. Kweli hawa watu wametushinda
Kabisa, halafu vitanda vyenyewe ni vya kisasa.Ndio imetandika vitanda kwenye wodi and not ICU mzee [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Maskini...The later is called HDU (High Dependency Unit). Wako nazo nane tu in the entire country. Kweli hawa watu wametushinda
That is clearly photoshopped. I saw people making fun with that picture yesterday and today on facebook
Huyu kijana hata hajui kwamba ICU pia ni wodi! Maajabu haya.Kabisa, halafu vitanda vyenyewe ni vya kisasa.
Vina mpka majina aisee, "citical care beds"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali sisi tumetandika 300. Nyinyi mmetandika 38Jubilee Inatandika beds alaf inadanganya wakenya muna ICU 300πππππ munasafari ndefu sana
Ahahaha spread beds alaf jubilee inawadanganya ICU ππππHuyu kijana hata hajui kwamba ICU pia ni wodi! Maajabu haya.
So hyo hapo ni nn mr geographyWorry out Dr BRT[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1405392
Wamesema Tz kuna hizo vitanda vingapi πππJubilee Inatandika beds alaf inadanganya wakenya muna ICU 300πππππ munasafari ndefu sana
Sisi hatujatandika wameonesha real ICU we have and not spread beds fala wewe tumetoa hospital kubwa kibaha yote kwa ajili ya corona virusAfadhali sisi tumetandika 300. Nyinyi mmetandika 38
Critical care beds ππππ but not ICU
[emoji115][emoji115][emoji115]only 70 are available (working) [emoji2377]
https://www.nation.co.ke/blob/view/-/5509726/data/2591582/-/10gkrqe/-/icu-beds.pdf
Afadhali sisi tumetandika 300. Nyinyi mmetandika 38
Woooiiii...wacha uongo mumetandika vita 38 vya wagonjwa wa kwaidaSisi hatujatandika wameonesha real ICU we have and not spread beds fala wewe tumetoa hospital kubwa kibaha yote kwa ajili ya corona virus
Tz wamesema ICU and not critical care beds hawa watu ni wapuuzi sijapata ona yani wanasafari ndefu sana kwneye maendeleoWamesema Tz kuna hizo vitanda vingapi πππ
Kasome vzr post ya ndugu yako ππ mushaanza kuchanganyana tayarWoooiiii...wacha uongo mumetandika vita 38 vya wagonjwa wa kwaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Am sure hata watanzania wenzako wanakushangaa jinsi ilivyo kilaza.Ahahahaha mamaee munafanya watu wapuuzi humu ndani kazi mulioifanya nyinyi kutandika vitanda kwa ajili ya wagonjwa wa corona na sio ICU labda hujui maana ya ICUπππ
So jubilee imewadanganya muna ICU 300ππππππ[emoji115][emoji115][emoji115]
Mwngine huyo kaenda kuhangaika google lkn kashindwa kupata less ya 38[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Data za miaka minne iliyopita tena ya hospitali moja tu,Tz wamesema ICU and not critical care beds hawa watu ni wapuuzi sijapata ona yani wanasafari ndefu sana kwneye maendeleo