Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukijadili navyo hivi huaga hawapendi, raha yao hutaka muruke ruke tu na kule ndipo wachanganye mada..

Huoni sai wametulia[emoji1787][emoji1787]
Ngoja atatumwa mmoja aje kuvuruga si kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unaelewa hawa watu vizuri sana. Saa hii wanaweza badilisha mada KWS njia yoyote ile
 
Wazee wa millionares siku hzi siskii tena AVIC ikitajwa humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siskii tena BRT ikitajwa
 
Corona ni jambo moja na locusts ni jambo jingine kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

corona imeleta magonjwa locust wameleta umaskini

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†ulipo tupo
 
Mwengine wamesambaza vitanda wodini anaita ICU mamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini, yani hta maana ya critical care beds hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au hukusoma umekurupuka jomba[emoji51][emoji51][emoji51][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
518 beds and not ICU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hvi ww unajua maana ya ICU maana yake unaijua

mulichokifanya nyinyi kutandika vitanda ndani ya wodi kwa ajili ya wagonjwa wa corona and not ICUπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…