Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww nakupiga kwenye maji tu chaliii
 
Mulianza miaka 50 iliopita je muko wap sasa hvi ushuzi wa bata wakat sisi tunakomboa nchi za africa mpaka 1994 tunaikomboa south africa mulikua munajenga nchi yenu nampaka 2000s tunaikomboa comoro na tukaanza kujenga hii nchi just 12 yrs ago leo tunawatandika bakora kisawasawa😂😂😂
 
Miundombinu unamaanisha yale magofu yenu yasiyokuwa na vifaa[emoji1787][emoji1787]
Yani jamaa wanashangilia majumba wakati hospitali ni vifaa[emoji51][emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hisia hizi zote ni za nini? Tunaongelea miundombinu wewe unaniambia ukombozi! Hiyo Satafrika mliokomboa mbona haikuchelewa kushika ndege yenu?
 
Hata hospitali wameanza kujenga karne hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena cha ajabu hayana vifaa ni magofu tu na manesi wa kuhesabika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miundombinu unamaanisha yale magofu yenu yasiyokuwa na vifaa[emoji1787][emoji1787]
Yani jamaa wanashangilia majumba wakati hospitali ni vifaa[emoji51][emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
I am surprised that they are depending on just one laboratory to test Covid-19 both in Tanganyika and Zanzibar! Na vile tunaambiwa how far they've gone in matters healthcare!! 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…