Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumetofautiana kisera wazee nyie mnaamini ktk majengo cc tumeshatoka huko now tupo kwenye sera nyingine hahahahahahahahahaaaaa tumewekeza kwenye miundombinu ya barabara and social amenities recent years to come mtalia kilio cha mbwa koko mana huduma zote muhimu mtakuwa mnakuja huku [emoji3][emoji3][emoji3] Magu kawapiga gepu la karne lazma mkohoe, namba hazijawahi kuongopa subiri muone, maamaee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hizo majengo hata sio zetu ni za mabeberu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. Talking of miundombinu, what progress have you made in that sector? I think you started building roads in Dar just the other day while sisi tulianza miaka kumi iliyopita. Nitajie hizo miundombinu nijue
 
Edward Wanjala nimeskia unafananisha hispitali za tanzania na kenya hahah uwe makini bro nakuonya sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Edward Wanjala nimeskia unafananisha hispitali za tanzania na kenya hahah uwe makini bro nakuonya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hakujui uyoo, kuna mtu humu tangu umuonye kuhusu BRT akaachana na hzo habari kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…