hebu wewe nioneshe 4lanes ndani ya CBD ya nairobi elewa nilichokuuliza kwanzaHaha hii dyo 4 lanes each side,poor danganyikas
nakwambia subiri usikie loss ya mwaka huu utaniambia πππnawaza jiran wenzetu wenye ndege za kukodi hasara wanayopata kipindi hiki cha corona
View attachment 1404861
wanjala nimempa dawa inayomstahiki na ananijua vzr sana ππππ
mcheza mkubwa team kubwa kenya analipwa 3000ksh alaf munakuja kutoa ushuzi wenu hapaπππ
Haha hii dyo 4 lanes each side,poor danganyikas
Twende kazi [emoji3][emoji3]hebu wewe nioneshe 4lanes ndani ya CBD ya nairobi elewa nilichokuuliza kwanza
Why should such a masterpiece be constructed in a slum!? Who did that!?Km 12 kutokea cbd
New TBC Headquarters
New studio
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
hii new studio ujenzi umeanzaNew TBC Headquarters
New studio
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
Babu ni studio au headquarters? Naona uzalendo umenifanya nii-overpromo! π π π
hello from darβοΈβοΈ
ni studio bro itakua kubwa na yakisasa sanaBabu ni studio au headquarters? Naona uzalendo umenifanya nii-overpromo! π π π
ndo maana nikachanganya nikajikuta naropoka! πni studio bro itakua kubwa na yakisasa sanaView attachment 1404986
πππβοΈβοΈβοΈndo maana nikachanganya nikajikuta naropoka! π
naysayers from Kunyaland! Subiria itaipata mahali imepewa Ukunya! π π π π βjamaa alijua bado tupo 1990βs
Majirani aki ni wapumbavu