The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Tutaona tu cc na wao nani wanastahili kuitwa ldc hehehehee I guess mwaka ujao hao wazungu watatutoa wenyewe kwny hilo group lao la uongo, eti Tz ni ldc af kenya haimo zen apo apo tunawazd mambo mengi tu ss we subiri hii miaka miwili hii jibu litapatikana tu km cc ni middle Income ya ukweli co ya makaratasi ama laYeah man..alfu something tells me vituo vyake vitakua vikali kinoma...let us see...pia ndani ya mwaka huu au Ujao wanaweza sign phase 3 ya kwenda Gongo la mboto na Phase 4 ya Tegeta ..maana world bank walikuwa washa commit kutoa soft loan
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana aisee, yn wakenya kdg watapumua mana ile speed tuliyokuwa nayo iliwasumbua snHizo hosptials ni addition ya 1000+ beds na bado kuna ya Tunduma ..akinifumulia nyingne Kigoma , Ngara , na Kyela mipakani humo itakua bomba ..sema hi COVID ina slow down mambo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
I think the Zone which needs a Big Hospital now ni Western Zone at least Kigoma iwe na hospital kubwa au Hata mpkani mwa Tabora na Kigoma ku serve hii miji miwilibya western Zonekuna wazo linakuja kwann yule mkurugenzi wa zaman wa NHC alikufukuzwa na miradi ya pale kawe imesimama kidogo [emoji848]
Duh tukikuwa na unbeaten run kubwaSana aisee, yn wakenya kdg watapumua mana ile speed tuliyokuwa nayo iliwasumbua sn
Mnatuzidi midomoni[emoji23][emoji23][emoji23]Tutaona tu cc na wao nani wanastahili kuitwa ldc hehehehee I guess mwaka ujao hao wazungu watatutoa wenyewe kwny hilo group lao la uongo, eti Tz ni ldc af kenya haimo zen apo apo tunawazd mambo mengi tu ss we subiri hii miaka miwili hii jibu litapatikana tu km cc ni middle Income ya ukweli co ya makaratasi ama la
Yani ndio serikali yenu ndio imezinduka sasa km kuna kujenga mahospitali, heheee!!madaktari je? Nao watawajenga au vp manake tanzania madakatari sio kw ratio hyo...
Utakapoambiwa uchague kwenda India au Tz ndo utakapogundua umuhimu wa kinachofanyika leo.Yani ndio serikali yenu ndio imezinduka sasa km kuna kujenga mahospitali, heheee!!madaktari je? Nao watawajenga au vp manake tanzania madakatari sio kw ratio hyo...
Kw taarifa yenu mnajengewa magofu, heri hata hospitali ya turkana county ina vifaa vya hata kuliko hayo magofu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigoma ni siasa za manispaa zimefanya wasipate zonal hospital kulikuwa na mgogoro kuhusu upatikanaji wa ardhi ya kujengea! Serikali ilishatoa pesa! Kuna mtu kaenda mahakamani kudai umiliki wa ardhi iliyokuwa itumike kujenga hositali na kutaka fidia ya ajabu!I think the Zone which needs a Big Hospital now ni Western Zone at least Kigoma iwe na hospital kubwa au Hata mpkani mwa Tabora na Kigoma ku serve hii miji miwilibya western Zone
Eastern Zone- Dar Muhimbili National Hospital + Mlongazila
Southern Zone- Mtwara Zonal Hospital
Northern Zone- KCMC Moshi
Lake Zone - Bugando Mwanza and New Julius Nyerere Memorial- Musoma
Central Zone- Benjamin Mkapa - Dodoma
Southern Western- Mbeya Zonal Refferal
My wishes
1.Western Zone- Kigoma Zonal Hospital or Tabora Western Zone hospital
Equip them with all Radiology , Labaroties and Teleconference facilities to make them as per with Atleast Kcmc or Bugando
2. The Government should buy 2 Airbus helicopters which are designed to be Air Ambulance services for super critical patients and Emergency cases ..and all zonal hospitals should have Helipads the cost of two airbus can be around $10mil so its a big investment but needed .as they may serve during national emergencies
Sent using Jamii Forums mobile app
Minimum prices kwa mama ntilie;
Wali sahani 50, ugali sahani 30, chai rangi kikombe (sijui), kitumbua 10, andazi 5, skonsi 5.
Dukani (minimum prices);
Mchele 1kg 50 (bei ya chini)
Unga 1kg 50(bei ya chini)
Maharage 1kg 60 (yaache yaendelee kupanda tu[emoji23])
Kunde 1kg sijui
Mafuta yapo mpk ya sh [emoji3][emoji3]
Sukari 1kg 100 ( iache iendelee kupanda tu[emoji23])
Haya twende ss njoo u convert kw pesa za madafu kutoka ldc [emoji3][emoji3]
Nairobi nauli hu varry bro, inaweza shuka hadi 20 na pia ikapanda hadi 200...Kutoka kibera hadi cbd ya Nairobi nauli ni ksh ngapi ? Pia tupe mchanganuo wa bei za nauli Nairobi ukionyesha na umbali ,hapa dar nauli kubwa ni tsh600 kwenda umbali wowote
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Duh ubabaishaji wa kiwango cha sgr-suswa huuNairobi nauli hu varry bro, inaweza shuka hadi 20 na pia ikapanda hadi 200...
So lazima ujifunze kucheza na wakati, mji wa wajanja huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukwel lazima usemwe, sasa nifiche kw faida ya naniDuh ubabaishaji wa kiwango cha sgr-suswa huu
Fala sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna matusi tena, kwn we watakaje?Fala sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji115][emoji115][emoji115]Mods mko wapi wahuni wa kibera wananilisha maneno ambayo ckusema, hebu angalieni apo comment yng wamei edit [emoji3][emoji3][emoji3] (this is serious issue)Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mradi wa pili progress ipo ?Kigoma ni siasa za manispaa zimefanya wasipate zonal hospital kulikuwa na mgogoro kuhusu upatikanaji wa ardhi ya kujengea! Serikali ilishatoa pesa! Kuna mtu kaenda mahakamani kudai umiliki wa ardhi iliyokuwa itumike kujenga hositali na kutaka fidia ya ajabu!
Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa Kigoma. - Channel Ten
Hospitali ya Wilaya
Pili huu mradi
itabidi umuulize Zitto aisee maana unaonekana Prvate! 😀 😀
Hahaaaa!!unatafuta usaidizi sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]Mods mko wapi wahuni wa kibera wananilisha maneno ambayo ckusema, hebu angalieni apo comment yng wamei edit [emoji3][emoji3][emoji3] (this is serious issue)