Ona unavojichanganya. On one end, unasema Nairobi ni misitu and on the other end unasema eti mitaa zetu hazina miti so what exactly is your point?Ngoja wakuletee misitu kwenye CBD πππ, halafu kwenye Estates zao nyingi kama umenotes hakuna miti, yaani kichwa kiko chini miguu juuπππ
Wewe hiyo yako ya 42 people ulileta evidence?At least...!!!!????...bring the evidences to support your claim
Achana na huyo kilaza. No hasira tu ako nazo everytime he remembers that the only thing he owns is a dingy dream house in DarHaikosi umezaliwa familia ya wachawi. Kila post roho yako ni chafu na una wivu mwingi wa kike against Kenya.
All in all [emoji1139][emoji1139] itatamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo Kazi zinawasaidia nini na tumewashinda kwa kila kitu? Nyinyi hata tukae curfew ya one year bado mtaendelea tu kusoma numberWaki watz tupo site tunapiga kazi usiku na mchana Kenya nyani zimefungiwa kwa slum , Hiki onekana kima yoyote nje ni mboko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena inakuwaga hatari mpk huwa wana doubt planners waoKumbe nairobery nako Mafuriko. Halafu hawa kunyalanders wanacheka Tanzania Itabidi mnunue boti kipindi ya mafuriko [emoji23][emoji23][emoji23]
First and foremost, I didn't know this is how you reason. Secondly, Hebu tuletee hizo areas Ziko planned Dar tuone ni sehemu zipi (google earth images would be more preferable)Nairobi covers an area of 696square kilometers, whereas Dar es salaamu covers an area of 1590square kilometers, sasa ebu tuchukulie tu kwamba Nairobi 600km square iko planned , then Dar tuchukulie ile size yooote ya Nairobi ambayo ni 696square kilometers kwa Dar haziko planned, so at the end tunabaki na 894 square kilometers Dar ziko planned. My point,!! unaweza sema Nairobi is more planned than Dar without considering all factors including city coverages ππ
So, hapo unaandika hz msg upo ndani au co [emoji3][emoji3]Masaki, the best neighbourhood in Dar [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu Mnataka kushindana na Nairobi!!
Is it not the best neighbourhood in Dar? π π Ama kuna nyingine bora zaidi ya masaki?So, hapo unaandika hz msg upo ndani au co [emoji3][emoji3]
Tofautisha mitaa na CBD, CBD gani imejaa miti tu πambako kuna paswa kuwa na trees ndio hakuna πOna unavojichanganya. On one end, unasema Nairobi ni misitu and on the other end unasema eti mitaa zetu hazina miti so what exactly is your point?
Hehee!!hta upindishe mpka kesho bado ukwel utabaki pale paleInategemea unakula nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshikwa pabayaTofautisha mitaa na CBD, CBD gani imejaa miti tu [emoji23]ambako kuna paswa kuwa na trees ndio hakuna [emoji16]
Ebu tuambie huko kwenu Tsh1000 utakula nini πππ
Hakuelewa πππ
Tshs 1000 = kshs 45.45 haya atanunua nn cha maana akala [emoji3][emoji3]Ebu tuambie huko kwenu Tsh1000 utakula nini [emoji23][emoji23][emoji23]
These are Nairobi estatesTofautisha mitaa na CBD, CBD gani imejaa miti tu πambako kuna paswa kuwa na trees ndio hakuna π
Kweli mumetushinda kwa kila kituHizo Kazi zinawasaidia nini na tumewashinda kwa kila kitu? Nyinyi hata tukae curfew ya one year bado mtaendelea tu kusoma number
Meanwhile, mnaanza kutafuta msitu Dar hehehehehe kumbe misitu iliyopo naipori inawauma eeehhhThese are Nairobi estates
View attachment 1401931View attachment 1401932View attachment 1401934View attachment 1401936View attachment 1401939View attachment 1401941View attachment 1401945View attachment 1401949View attachment 1401952View attachment 1401958View attachment 1401961
And then here are Dar neighborhoods. Naona mko na miti everywhere kwenye Mitaa zenu [emoji23]
View attachment 1401963
View attachment 1401970View attachment 1401972View attachment 1401975View attachment 1401980
$1 unakula chakula kizuri tu na chenchi inabaki.Tshs 1000 = kshs 45.45 haya atanunua nn cha maana akala [emoji3][emoji3]
I thought you were going to mention development issues. Kumbe mambo tu ya corona?? Ramapithecus rudi ukalaleKweli mumetushinda kwa kila kitu
1)Njaa
2)Ukabila
3)Rushwa
4)Crime
5)Terrorism
6)Corona 38 vs 13
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app