Ndo inatakiwa alarm ikugongee kichwani kwmb those are cooked as usual.
Nyie c mabingwa wa sifa huwa mnafanya kila hila ili tuonekane tupo sawa ata ikiwezekana kufuta kenya kuweka Tz, no slums in Tz[emoji3][emoji3][emoji3]Sikujua siku hizi World Bank wanacook data. Ama juu Tanzania wako kwa list?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shy - mza - Musoma - tarime ni sehemu ya B6 inayoanzia makolongosi - rungwa - tbr - nzega - shy - mza - Musoma - tarime - sirari jumla km 1,071.Mwanza to musoma 230km
Musoma to tarime. 85km
Mwanza to shinyanga 151km
Dar to tanga 330km
Moshi to arusha 80km
Tanga to horohoro 60km
Tanga to pangani 50km
Dar to bagamoyo 60km
Bagamoyo to msata 65km
Shinyaga to tabora 200km
Shinyanga to kahama 107km
Mwanza to geita 124km
Shinyanga to mwadui 54km
etc
Hii iko ndani ya A104 inayoanzia namanga mpaka tunduma 1218kmArusha- Iringa km...
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Tell that to World Bank.Nyie c mabingwa wa sifa huwa mnafanya kila hila ili tuonekane tupo sawa ata ikiwezekana kufuta kenya kuweka Tz, no slums in Tz[emoji3][emoji3][emoji3]
Shy - mza - Musoma - tarime ni sehemu ya B6 inayoanzia makolongosi - rungwa - tbr - nzega - shy - mza - Musoma - tarime - sirari jumla km 1,071.
Nilichukua distance ya nzega - sirari ambayo Nina uhakika ina Rami but nimekumbuka tbr - nzega kuna rami km 117 nta_update hiyo.
Dar - tanga na tanga horohoro iko covered kwenye A7 na A14
Zilizobaki ntafanyia kazi then ntakuja na mrejesho, kuna barabara nyingi tu najua ntakuwa nimeziacha
Una wazimu ww2019 report. Only madmen ndio wanaezapinga hii.[emoji23][emoji23]View attachment 1399533
Sent using Jamii Forums mobile app
We mabomu ya machozi skia, Tanzania ilivyo kubwa hivi eti uniambie barabara zilizotiwa lami ni Km 6000!!!? mbona hata akilini haingii....2019 report. Only madmen ndio wanaezapinga hii.[emoji23][emoji23]View attachment 1399533
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]l thought the MAJIMAJI rebellion was an event in history books until l saw a modern day KINJIKITILE a COVIDIOT just like many idiots on JAMII FORUM.View attachment 1399428
where is paved road here?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kujiTAGAcha kutoa data makalioni. Your paved roads are 6000km. Siku mtapita hata 8k unitag.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo zote combined ni 6,000km.We mabomu ya machozi skia, Tanzania ilivyo kubwa hivi eti uniambie barabara zilizotiwa lami ni Km 6000!!!? mbona hata akilini haingii....
Mahesabu yaliyofanyika hapo ni barabara kuu za nchi which is zinaunganisha pia nchi jirani.....
Hujazungumzia zile barabara za mikoa, yaan kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, bado tena za wilaya ndani ya mikoa hiyo, bado tena kwenye matarafa, kata na mitaa ( just imagine tuu)
Mfano Dar ambao ndo mkoa mdogo kwa eneo (size) Tanzania nzima, chukua vipande vya barabara zake akina Kawawa Road, Ali Hassan Mwinyi, Mandela, Kilwa, Sam Nujoma, Old Bagamoyo na vibarabara vyote mjini hapa, weka total....
Af imagine sasa mikoani huko vile vibarabara vya ndani ya mji af weka total si utakimbia mwenyewe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipoteze muda na huyo mlevi wa changaa,We mabomu ya machozi skia, Tanzania ilivyo kubwa hivi eti uniambie barabara zilizotiwa lami ni Km 6000!!!? mbona hata akilini haingii....
Mahesabu yaliyofanyika hapo ni barabara kuu za nchi which is zinaunganisha pia nchi jirani.....
Hujazungumzia zile barabara za mikoa, yaan kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, bado tena za wilaya ndani ya mikoa hiyo, bado tena kwenye matarafa, kata na mitaa ( just imagine tuu)
Mfano Dar ambao ndo mkoa mdogo kwa eneo (size) Tanzania nzima, chukua vipande vya barabara zake akina Kawawa Road, Ali Hassan Mwinyi, Mandela, Kilwa, Sam Nujoma, Old Bagamoyo na vibarabara vyote mjini hapa, weka total....
Af imagine sasa mikoani huko vile vibarabara vya ndani ya mji af weka total si utakimbia mwenyewe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado zingine hazijaishaPaved road kenya 18000km
Tanzania 14000km ujinga unaupenda sana nakuona...
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't attack the messenger please. I'm only a messenger.Usipoteze muda na huyo mlevi wa changaa,
Huwa yuko radhi apunguze namba mradi moyo wake usuuzike na kujifariji.
Karibuni ila mczani km mtaichezea Tz ya Magufuli, mzee yupo smart mno, mczani km Mtakuja kuwa maagent kwny bandari yetu never ever
Kenya yajipanga kutumia bandari TanzaniaView attachment 1399525