Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na mwisho wa siku hatuto argue nao,, tutaendelea na story zetu binsfsi za kujenga taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Total paved roads in 2015 6600km
Kuna mkenya mmoja anataka kutuambia hatujaongeza km hata moja miaka mitano while we almost add 1k in 1 year...kuna siku tuusan alituma source (last year)from mwananchi (wizara ya ujenzi) we at 10000km of paved

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo mru wa hko kwenu uswazini level yake kenya ni kibera[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anaeishi kwenye nyumba ya kuta za matofali + maji safi + madirisha + barabara safi vs mtu wa kibera mwenye nyumba ya kuta za mabati + njia zilizojaa flying toilets, hawalingani hata kidogo
 
Ndio kama yule fala mwingine alipost picha zina daladala za mstari mwekundu zilizoandikwa makumbusho-kariakoo amabazo zilifutwa tangu 2015.
Nlichogundua hawa mapunga wanapamabanisha TZ ya miaka 5+ back vs Kenya ya 2020
 
Kwendeni huko, hata 7000km ndio hamjafika. Mbona msinionyeshe any article inayosema mmevuka 7000km. Kenya washapita 20,000km na nyinyi bado mnaoongea rumors hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaiona any company ikitaja majina ya those others? Na ujue Safaricom first pays taxes to government of Kenya which is more than 30% of their profit. Now take 35% profit received by government and then add to the tax paid which also government receive. That's around 65% add that 25% of other Kenyans and that's how you get 90% of all revenue remaining in Kenya.
Ahahaha mbona hawajaekwa hapo [emoji23][emoji23][emoji23] wala hawajatajwa musifanyr watu wajinga humu wengine tuna familia[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhehehe ohh kenya inamiliki safaricom yote mbuzi wewe munafanya watu wapumbavu humu mkiambiwa uchumi wenu umeshikwa na investors munakua wakali sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jibu ni kwamba gvt of kenya ina 35% only and the rest from investorsπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

niletee official source kua wakenya wanamilikia 25% nakuapia kwa Mungu mm nafunga acc jamui forum😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…