Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndio umepanga hapo au umepangisha πŸ˜‡!?
Don't run away from the point. I told you huwezi afford kuishi mahali naishi. Ukija Nairobi inbox me I will host you for free usahau maisha ya dream house angalau kidogo
 
Kijitonyama ileee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ View attachment 1397750
Tena umepost nyumba nzuri na bora nyumba zote ni za blocks safi kabisa zina umeme na zina maji salama na kuna vituo vya afya kuna barabara za lami kuna huduma zote za kijamii

sasa njoo kwenye nguruwe areaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
Tafuta nyumba ya blocks hapo hehehe nyumba nzima mabati sijui how do people surviveπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kijitonyama ileee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ View attachment 1397750
Mzungu hawezi kua mjinga never everπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si huwa nakuambia hizo nyumba ni nzuri tu coz your standards allow them to be called so na hata ndio maana zinaitwa dream houses? Huku kwetu hizo changaduo ni slums
 
Na siku zite tour guide wa kibera national park ni mwafrica mwenzao yani ndio anawaonesha maisha ya wenzao wakiishi kama nguruwe

 
Just the same way you survive here Mr geography View attachment 1397761
Unakumbuka zile enzi ulikuwa ukisema hizi picha ni za Congo na Nigeria? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Zoom sio unaleta picha imepigwa mbali sana alaf useme slum mbona hamutafti picha za karibu munaogopaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Don't run away from the point. I told you huwezi afford kuishi mahali naishi. Ukija Nairobi inbox me I will host you for free usahau maisha ya dream house angalau kidogo
Hahaha! nishasema unauwezo wa kupanga tu fullstop! but huna uwezo wa kujenga wala kununua nyumba yangu hata nikikupa 50%discount!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…