Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi + Nairobi metropol+ Mombasa - Slums = Dar es salaam
Huu ni ukweli mwingine msije sema atukuwaambia
When Kenya was rated above Tanzania last year what did you people say? To you guys, something is only good if it places Tanzania above Kenya. Any other thing ni ya kupikwa na ya makaratasi. Horrible!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjui kwnn anaogopa, au ndo tuamini kwmb alifny vile kuwakilisha ukenya wake "kujitutumua" ebhn ichoboy kwnn usimlipue huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimlipua sasa hvi watakimbia wote tutakua hatuna wapunzani acha wakae kidogo wajionee tanzania ilipo alaf dawa yake ntampa moja kwa moja nyie tulieni tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Halafu kwenye makumbusho yao kuna vitu ambavyo vipo kila mahali from Africa mpaka mabara mengine. Sasa kama mnyama eti anakua ndio kinyago cha asili lets say twiga jamani kuna kipi kipya hapo. Ila ukiona lile chaka la watu unajua mwenyewe kuwa this is unique na unajua fika hii imetoka TZ na soon wataiga nakuanza kuchonga vinyago vya wamakonde
 
watakula fimbo za faini za kutosha......miliki za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hamjui washatangaza wamakonde kama kabila mojawapo huko Kunyaland?
 
1000MW from which ground?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ