Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,735
kwani yeye Mungu? Uongozi ni dhamana leo Rais miaka mitano mwananchi wa kawaida! Inabidi awe na staha! Kwa ufupi Sipendi tabia yake ya mihemko na matusi anadharaulisha taasisi ile au ile tabia ya kufedhehesha wasaidizi wake kwa ku-instigate wananchi kuwachongea viongozi hadharani! Yeye mbona haruhusu kukosolewa hadharani? Iko siku watu wata-tender resignation wamwachie kila kitu!Ila mkuu naona Kama Mhandisi Mfugale kamtibua mzee mana kuna mda mheshimiwa akawa km amsikilizi fulani, unajua mkuu huwa hapendi uwe na confidence mbele yake ss cjui imekaaje apo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo ndyo weakness ya mkuu wetu, hawa wateuliwa wake wanapaswa kujua hilo na kuendana nayo hakuna namna kila kizuri kina weakness yke mkuu hakuna aliyekamilika, japo na mm tabia hyo huwa inanikwaza lkn lazima nkubali kwmb ndyo weakness yke hyo na hatuwez kuibadili kivyovyote vile.kwani yeye Mungu? Uongozi ni dhamana leo Rais miaka mitano mwananchi wa kawaida! Inabidi awe na staha! Kwa ufupi Sipendi tabia yake ya mihemko na matusi anadharaulisha taasisi ile au ile tabia ya kufedhehesha wasaidizi wake kwa ku-instigate wananchi kuwachongea viongozi hadharani! Yeye mbona haruhusu kukosolewa hadharani? Iko siku watu wata-tender resignation wamwachie kila kitu!
ana wa-dress down wasaidizi wake kama watoto hebu imagine kawaita wajinga na wapumbavu sasa ana tofauti gani na Trump? mob justice si way forward!Hyo ndyo weakness ya mkuu wetu, hawa wateuliwa wake wanapaswa kujua hilo na kuendana nayo hakuna namna kila kizuri kina weakness yke mkuu hakuna aliyekamilika, japo na mm tabia hyo huwa inanikwaza lkn lazima nkubali kwmb ndyo weakness yke hyo na hatuwez kuibadili kivyovyote vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ana kiburi cha hovyo sana, japo anafanya kazi nzuri lakini hapaswi Kupewa muda wa zaidi ya miaka 10 ya kawaida, akimaliza muda wake aende kupumzika.ana wa-dress down wasaidizi wake kama watoto hebu imagine kawaita wajinga na wapumbavu sasa ana tofauti gani na Trump?
inakaa speech ya Mbowe imemchanganya! 😀 😀 ☝Magufuli ana kiburi cha hovyo sana, japo anafanya kazi nzuri lakini hapaswi Kupewa muda wa zaidi ya miaka 10 ya kawaida, akimaliza muda wake aende kupumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro tafadhali sana, usipende kuweka viambatanishi (plate number) vinavyoweza kuonesha identity yako mitandaoni. Watu wenye nia mbaya nawe wanaweza kuanzia hapo, kuja kukuumiza. Geza Ulole hapo juu amejaribu kukutonya kiaina.hawa niachie mm nawajua mpaka rangi za chupi zao😂😂😂😂
Hawa jamaa si wakuamini at all! Imagine wako radhi mpaka kubadili news na kuitaja Tanzania kama drugs gateway kisa US report imewataja! Wengi humu ndani hata milo miwili kazi sasa imagine waone unaishi good time!Bro tafadhali sana, usipende kuweka viambatanishi (plate number) vinavyoweza kuonesha identity yako mitandaoni. Watu wenye nia mbaya nawe wanaweza kuanzia hapo, kuja kukuumiza. Geza Ulole hapo juu amejaribu kukutonya kiaina.
Hata alivyokua Kenya aliweka picha ya gari na site mirror ilikua inaonesha namba ya gari mbaya zaidi ni za TanzaniaBro tafadhali sana, usipende kuweka viambatanishi (plate number) vinavyoweza kuonesha identity yako mitandaoni. Watu wenye nia mbaya nawe wanaweza kuanzia hapo, kuja kukuumiza. Geza Ulole hapo juu amejaribu kukutonya kiaina.
kwani yeye Mungu? Uongozi ni dhamana leo Rais miaka mitano mwananchi wa kawaida! Inabidi awe na staha! Kwa ufupi Sipendi tabia yake ya mihemko na matusi anadharaulisha taasisi ile au ile tabia ya kufedhehesha wasaidizi wake kwa ku-instigate wananchi kuwachongea viongozi hadharani! Yeye mbona haruhusu kukosolewa hadharani? Iko siku watu wata-tender resignation wamwachie kila kitu!
sijui kama bwana ichoboy01 anajua u-serious wa hii maneno humu ndani! Mimi kuna kipindi huwachokonoa watu mpaka huwa napata mpaka msg inbox za kashfa!Hata alivyokua Kenya aliweka picha ya gari na site mirror ilikua inaonesha namba ya gari mbaya zaidi ni za Tanzania
kitochi
Magufuli ana kiburi cha hovyo sana, japo anafanya kazi nzuri lakini hapaswi Kupewa muda wa zaidi ya miaka 10 ya kawaida, akimaliza muda wake aende kupumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila kitu unapaswa kufahamu juzi katika utiaji sahihi wa mradi wa airport Msalato na barabara ya Bagamoyo-Lungalunga Mkuu wa TANROAD kuna point aliisisitiza sana kiustadi kuhusu funds za compensation kuwa tayari!Lakini bro hata ningekuwa mimi pale ningewazingua unajua nini? Tangu March 3 daraja hakuna linasuasua wenzetu wachina hospitali imejengwa siku kumi tu sasa kidaraja kile wiki tatu mnashughulikia tu jamani hebu mda mwingine tuwe serious, Binafsi nadhani raisi yuko sahihi ukifanya mambo mengi ukakosa kudeal na jambo muhimu moja basi hufai ni sawa na serikali ikizembea kwenye jambo kama hili la Corona basi haifai kabisa so mkuu yuko sahihi. Jana nliona nadhani ni Tv ya Rwanda walikuwa wanazungumzia kuhusu daraja hilohilo asa ukiwa na akili fupi utadhani mzee kazingua la hasha kaongea ukweli daraja kama lile now lilipaswa liwe limeisha, usha imagine kama mvua kubwa ikaja ghafla now?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Lakini 100% ya wakenya humu kwenye forum wana maisha mabovu sana ya kubangaiza, you can learn from their arguments, reflecting majority of Kenyanssijui kama bwana ichoboy01 anajua u-serious wa hii maneno humu ndani! Mimi kuna kipindi huwachokonoa watu mpaka huwa napata mpaka msg inbox za kashfa!
inakaa speech ya Mbowe imemchanganya! 😀 😀 [emoji121]
Jaribu kusoma hulka ya JPM kiundani utapata mwanga kidogo mimi kwa asilimia kubwa ninahisi kulikuwa na ucheleweshaji wa fedha za ukarabati na matengenezo! Na pia hata za ukarabati ambazo zilipaswa kutolewa kabla ya mvua hazijaanza! Ila ndo hivyo huwezi kumbishia! Kingine huwa hatabiriki leo kauliza kwanini wasijenge diversion kwenda nje ya road reserve lakini ikumbukwe vilevile angeweza kukataa kulipa fidia pia akaja kama alivyokuja akakudhihaki na kukukashifu mbele ya kadamnasi kama kawaida yake baada ya kupewa gharama kubwa! Ni ngumu sana kufanya kazi na Mkulu unakosa kujiamini kabisa! Kutokana na kutotabirika na kutofuata taratibu! it malways makes sense to have functioning instutions than having one's intuition deciding everything!Kumkubali mtu sio kumsifia tu hata kumuonya pia so nlimsikia anasrma angrmfukuza dhat means still he needs to do more to be a good leader zaidi
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Jaribu kusoma hulka ya JPM kiundani utapata mwanga kidogo mimi kwa asilimia kubwa ninahisi kulikuwa na ucheleweshaji wa fedha za ukarabati na matengenezo! Na pia hata za ukarabati ambazo zilipaswa kutolewa kabla ya mvua hazijaanza! Ila ndo hivyo huwezi kumbishia! Kingine huwa hatabiriki leo kauliza kwanini wasijenge diversion kwenda nje ya road reserve lakini ikumbukwe vilevile angeweza kukataa kulipa fidia pia akaja kama alivyokuja akakudhihaki na kukukashifu mbele ya kadamnasi kama kawaida yake baada ya kupewa gharama kubwa! Ni ngumu sana kufanya kazi na Mkulu unakosa kujiamini kabisa! Kutokana na kutotabirika na kutofuata taratibu!
ila kitu unapaswa kufahamu juzi katika utiaji sahihi wa mradi wa airport Msalato na barabara ya Bagamoyo-Lungalunga Mkuu wa TANROAD kuna point aliisisitiza sana kiustadi kuhusu funds za compensation kuwa tayari!
Sasa haihitaji kutumia akili nyingi kufahamu huwa kuna ucheleweshaji wa fedha kutoka wizara ya fedha kutokana na ukweli institution zimehodhiwa kwenye kufanya maamuzi na lazma yatoke kwake! Kitu ambacho kwa serikali hii huwezi kulitamka hadharani ni mwiko! Na wasaidizi wanalijua hilo!
Siamini kama fedha za maafa zilikuwapo ready available kama anavyodai JPM! Ukimsoma vizuri hulka ya mkulu inafahamika ni kuruka lawama siwezi kushangaa kama fedha wanazosema zilikuwepo zimetolewa jana! Kiufupi simuamini hivyo!
Moja mi nimeona kuna kitu kimefichika! Kwa mfano kwann blame ya kutofukuza regional Engineer na wale 12 asipewe Waziri Mkuu badala yake Waziri na mkurugenzi TANROAD? Je kati ya hao kuna anayeweza ku-overturn decision made by PM aliyesema ahamishwe? Na sheria za nchi zinasemaje?Of course lkn don live kwa labda labda maana contact za Mr president anazo failure on serious matters inaku punguzia credit at all, me naelewa vema lkn when it comes kwenye hili sacrifice ni muhusika tu, au mzee we kwenye issue kama hii ungesolve vp?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums