Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nmekuelewa vizuri tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekuelewa vizuri tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kwa kumtia moyo cz ukiendelea kumkazia atajisikia vby c unajua jirani zetu hawa walivyo na jealous, wakati mwingine tuwe tunawakubalia ili kuwaliwaza km hv.
 
Safi kwa kumtia moyo cz ukiendelea kumkazia atajisikia vby c unajua jirani zetu hawa walivyo na jealous, wakati mwingine tuwe tunawakubalia ili kuwaliwaza km hv.
Hakuna cha kutiwa moyo au nini. Mwenzako ameelewa point yangu vizuri tu ila nafahamu kwamba kwamba not everyone should agree with your views. It's human nature
 
Usisahau kwamba Kenyans are richer than Tanzanians [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi huwa hatuna maneno mengi, kuhusu hilo la rich citizens btn Tanzanians and Kenyans nalo litawekwa mezani na ukweli utajulikana tu, yn wakazi wa kwny slum wawazid mbumba watu wenye nyumba zao, tena nyumba za blocks itakuwa ajabu jipya la dunia.
 
Najua inakuuma ila ndo basi
Hainiumi mzee nikiangalia maisha mnayoishi ninyi hayawezi lingana na sisi kamwe. Na hizo takwimu zilizotolewa juzi nakupa miaka miwili wataongezeka wenginee zaidi ya haooo. Huwezi kusema mmetuzidi utajiri hii sio tanzania unayoifaham ww ya mtandaonii tuko mbalii sana mzeee. Ndio maana wenzako waliowah kuja tz wanalilia wabaki unafaham kwanini wanataka wabakiii???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…