The same Knight Frank said there were over 9,482 dollar millionaires in Kenya in 2018. How this has dropped to just over 2,000 in just one year is a subject of discussionHuu msumari sijui wataukwepaje. Nchi yenye uchumi mdogo lakini idadi ya matajiri ni mara mbili ya nchi yenye uchumi mkubwa, hii ndio faida ya ujamaa, uchumi unasambaa kwa watu wengi, sio kabila au familia chache. Tunakukumbuka Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupe namba zao uwapigieThe same Knight Frank said there were over 9,482 dollar millionaires in Kenya in 2018. How this has dropped to just over 2,000 in just one year is a subject of discussion
Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018
Ndio nini ifanyike?Nikupe namba zao uwapigie
Wabadili data zao cz Wakenya wengi wa humu Jf hamjakubaliana nazoNdio nini ifanyike?
Sisi hatuna ubaguzi mkuu, Hadi waoleke huku kwa kina Kamau na Otieno 😂Ok, na hao wachina vp mshawapa uraia[emoji3][emoji3]
Mahindra nazo Ni gari?All Mahindra vehicles in Africa to be made in Kenya. Another step going forward
Mahindra to use Kenya as Africa expansion hub
Wakenya mukuje mujifunzee hukuu Tony254 MK254Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga
Majirani wameanza kuwamaliza wenzao
Wakenya mukuje mjifunze huku MK254 Tony254No doubt
Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread
Uko sawa kabisa mkuu 100% ,,ttzo wabongo tumezoea kuongea Sana,,ukizngatia evidence ka zote zimeoneshwa hapo juu hafu bado watu wanabisha kwa maneno pasipo kutumia logicUkweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Hahahahahah!!!!mzeh mwelekeze Vizuri usimkazie kiasi hichoHizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?
Nimekwambia acha bra bra. Kama hujui kitu kaa kimya sisi tukuletee. Usijifanye mjuaji wakati hujui. Nimekwambi wewe leta references za Nairobi. Wewe unakuja na maneno ya siasa.
Je?
1. Nairobi kuna BRT?
2. Nairobi kuna Island?
3. Nairobi Kuna uwanja mkubwa wa Taifa?
4. Nairobi kuna fish market?
5. Nairobi kuna daraja kama la Nyerere?
6. Nairobi kuna beaches?
7. Vipi kuhusu hotel za Nairobi na za Dar?
Wewe unakuja na bra bra hapa. Tatizo huna exposure. Umetokea porini na kwenda Nairobi. Sasa umerudi dar na huja wahi hata kutembea zaidi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako.
Naelewa mada vizuri.... Huwezi compare Nairobi na dar...... U can only compare mombasa with dar.... Someone tell me nini dar ikonayo mombasa imekosa...
Ugua pole pole plz🤪🤪🤪🤪Elimu yenu duni 😁
Mimi sio Kama wewe asielewa taarifa...View attachment 1382081
Ndege zenu munamiliki ndege ngapi hebu tujuze😁😁Ndege zetu zinaruka Mumbai, Johannesburg, New York, Amsterdam, Telaviv Yani Kila Kona bila hofu ya kukamatwa.
Tuonyeshe Cabin crew ATCl wakiwa miji nyingine duniani Meaka huu 2020 March 6.
Nilifkiri Toyota kumbe mahindra hata sijui ndio naskia leo😁😁😁😁😁All Mahindra vehicles in Africa to be made in Kenya. Another step going forward
Mahindra to use Kenya as Africa expansion hub