Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lets compare today's 2 matches

Gor Mahia vs AFC Leopard



vs

Simba vs Yanga



JPM in the house


MY TAKE
Middle income mnatuangusha aisee! kelele zoote za "Mashemeji derby" inabaki lip service twitter kama kawaida yenu halafu uwanjani empty seats! wakati "Kariakoo Derby" ni full watu wamejaza viti vya uwanja! Mkiambiwa Dar es salaam haina mpinzani hapa EA mnaanza kubisha!


CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
 
Ila kuna mambo yanakera sana tuna derby kubwa Afrika tunajivunia lkn bdo kuna wapuuzi bdo wamelala sn, haiwezekani mechi kubwa km hii ya leo isipatikane kwny mtandao mkubwa km Live scores, huu ni udhaifu mkubwa sana kwakweli, mara nyingi nmekuwa nikiingia live scores con ligi ya bongo lkn ya wenzetu Mungiki japo haina mvuto lkn wanaitangaza sn hata ukiangalia pale supersport utaona matangazo ya ligi ya kenya, ila hii yetu haya majinga TFF yamelala tu kazi yao kupanga matokeo hamna yanachofanya kuongeza thamani ya ligi, yn yanaturudisha Tz ile ya upigaji.
 
Inaoneka wewe bado uko stone age

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye site zingine za livecsore waliweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…