Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile ripoti ya jana naona imezua mijadala mnoo,
Comment za kwenye hii tweet [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inasikitisha kwakweli, wakenya wamekuwa hopeless kabisa ila naomba Tz tusibweteke tuishi kwny malengo tuliyojiwekea ya kuwa middle income country ya ukweli na co huu ushuzi baadhi ya nchi zikijinadi kwmb ni middle Income wkt co kweli, angalia jamaa wanavyotia huruma [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Bado usisahau kua dawa ya Nicxie ya BRT iko jikoni naiandaa hakikisha funga gate asitoke mtu yoyote hata kuku asiekua na manyoa asitoke mpaka nimpe dawa yake ili apate Tiba ya uhakika na salama kwa maisha yake yote😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…