Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol middle-class estates in Dar
 
Nadhani hii ina reflect kitu fulani [emoji116][emoji116]
 
Kweli kabisa ndugu. Haiwezekani tutumie matrilions ya shilling kujenga Standard Gauge Railway (SGR) ya umeme na ya kisasa kabisa halafu tushindwe kununua treni za kisasa. Hatuhitaji treni za kizamani zenye vichwa vinavyofanana na vya MBOGO aka NYATI. Ni bora tununue treni chache za kisasa kwa kuanzia kuliko kununua mengi halafu ya kizamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…