Majina tu inaonesha fika umehadithiwa wala hujui [emoji3][emoji3] ss kwa taarifa yako mwambie aliekuhadithia arudie upya
Ona ulivyo na jealous,[emoji121][emoji121] hyo picha imekupenya vilivyo unamtafuta mchawi[emoji3][emoji3]
Ukinionesha quality airport km hii ndani ya Nairobi ntatuma ujumbe kwa mods wani ban ucku huu huu daadekii [emoji116][emoji116]View attachment 1377291View attachment 1377292View attachment 1377293
Good for nothing,, haha,jkia is the most important airport in east Africa and 4th best in Africa,BTW u are not the only one who has upgraded your airports in Africa,Senegal,Nigeria etc have done so,yurs is not special at all,hahaha
inayoonekana hapo.. sio uliopigia hii picha
Gharama yake inaweza kuwa ya brand new DMU! Can someone tell us how much is to be spend on these 1 second-hand DMU?View attachment 1377349
Second hand😂
Sawa ila umeme ni umeme tu mkuuWakuu Punguzeni mchecheto Treni za Tanzania bdo TRC/Serikali hazijatangazwa ni nani alieshinda Tenda ya kusupply hizo EMU's, atatangazwa mshindi ni nani na ni kwa kiasi gani zitacost then mtaoneshwa renders ama replicas zake au picha za mfano wa makampuni ambayo yanatumia model kama hizo na pia itatolewa time frame yake ya kuzitengeneza na mpka kuzisafirisha na kufika hapa TZ(Utaratibu ndo uko hvyo) , so kuweni na subra msipost post tu mapicha mapicha ambayo yanapotosha uhalisia na pia nawashauri mulimit/mupunguze kdgo expectations na majigambo yenu coz zinaweza pia kuchaguliwa treni za umeme ila ambazo hazina mvuto tukaambulia kuchekwa humu ndani na majirani[emoji23][emoji23][emoji23].
hizi ni link za website ambazo taarifa zote za treni duniani zipo so TZ ikichagua tu kampuni ya hizo treni basi hapa taarifa lazima mtaziona.
Rail business, industry and technology news from Railway Gazette International
Home - International Railway Journal
Wanazoishi wageni? Wageni kutoka Tanzania? 😂 😂 😂 😂 Kumbe kuna wageni wengi sana Nairobi.Ss residential ndg hatuwezi fanana ww utaniletea picha chache za cages wanazoishi wageni, mm nkikuletea nyumba halisi mnazoishi Wakenya about 60% utaanza kulia oohh mbn unaleta slum yn unavyopachukia utadhani ww hauishi humo, ndo mana nmeona bora nkuletee Amsterdam Schiphol Airport of Africa ulie vzr.
Na huwezi kununuaa ata moja hapo. Apo si slums bro ni unplanned kwaio usilinganishe na vibanda vya kuku vya kwenu na hizo nyuma ambazo hamuwezi kujenga. Alaf mnakamsemo kenu eti "tujenge kwani tumekuwa kobe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]Nasi hizi hapa zinapatikana slums, huoni tofauti hapo. View attachment 1376945View attachment 1376946View attachment 1376947View attachment 1376948
Sadly they are everywhere [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1376954View attachment 1376955View attachment 1376957View attachment 1376959View attachment 1376960View attachment 1376962View attachment 1376966View attachment 1376962
Why should I buy a squalor like these these ones hereNa huwezi kununuaa ata moja hapo. Apo si slums bro ni unplanned kwaio usilinganishe na vibanda vya kuku vya kwenu na hizo nyuma ambazo hamuwezi kujenga. Alaf mnakamsemo kenu eti "tujenge kwani tumekuwa kobe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]
Kweli unaumia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I asked you to show me a picture like this from Nairobi. Bado nangoja jibu View attachment 1377290
Sidhani kama unaishi hapo ila kazi yako nikutuAminisha kua unaishi hapo ila ukweli unaishi kibera kwenye mazizi ya nguruwe .Why should I buy a squalor like these these ones hereView attachment 1377425View attachment 1377427
when I can afford to buy an apartment in a place like this View attachment 1377423
View attachment 1377426
Which place even looks more expensive and organized?
View attachment 1377349
Second hand[emoji23]
You think I live in a dream house like you? 😂 😂 😂Sidhani kama unaishi hapo ila kazi yako nikutuAminisha kua unaishi hapo ila ukweli unaishi kibera kwenye mazizi ya nguruwe .
Kuhusu swala la expectations wala usiwaze maana viongozi wetu ni watanzania kama sisi na wanaelewa fika kuwa WaTz tunapenda vitu classic.Wakuu Punguzeni mchecheto Treni za Tanzania bdo TRC/Serikali hazijatangazwa ni nani alieshinda Tenda ya kusupply hizo EMU's, atatangazwa mshindi ni nani na ni kwa kiasi gani zitacost then mtaoneshwa renders ama replicas zake au picha za mfano wa makampuni ambayo yanatumia model kama hizo na pia itatolewa time frame yake ya kuzitengeneza na mpka kuzisafirisha na kufika hapa TZ(Utaratibu ndo uko hvyo) , so kuweni na subra msipost post tu mapicha mapicha ambayo yanapotosha uhalisia na pia nawashauri mulimit/mupunguze kdgo expectations na majigambo yenu coz zinaweza pia kuchaguliwa treni za umeme ila ambazo hazina mvuto tukaambulia kuchekwa humu ndani na majirani😂😂😂.
hizi ni link za website ambazo taarifa zote za treni duniani zipo so TZ ikichagua tu kampuni ya hizo treni basi hapa taarifa lazima mtaziona.
Rail business, industry and technology news from Railway Gazette International
Home - International Railway Journal
👍Exactly.Sawa ila umeme ni umeme tu mkuu
HOUSE UNAZOZIONA JUU NDIO HIZIKweli unaumia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I asked you to show me a picture like this from Nairobi. Bado nangoja jibu View attachment 1377290
Talking of proposals??? 😂 😂 😂 Nairobi kuna hadi za 70 floors on proposal. Google "The One Nairobi"So, pale mungiki wanapo-flaunt na GTC, Dar pia kuna World Trade Center building iko proposed tena yenye the same number of floors, 42. However, I wish waendelee ku-stall construction tupate investor ambaye yuko willing kujenga jengo refu na iconic zaidi. I think It'll be a better idea to construct the building in Kigamboni karibu na waterfront ili ku-start off development kwenye hiyo district
View attachment 1377437
Hiyo ni Kibera slum. Nilimuuliza mwenzako anionyeshe picha kama hii kutoka NairobiHOUSE UNAZOZIONA JUU NDIO HIZI
View attachment 1377444
NA HIZI NDIO SLUM , umeelewa?
View attachment 1377445
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Every building is proposed before its construction. Maybe you should know that.Talking of proposals??? 😂 😂 😂 Nairobi kuna hadi za 70 floors on proposal. Google "The One Nairobi"
In the meantime...
View attachment 1377447
Of course I know that but in the meantime, we'll continue flaunting 😂Every building is proposed before its construction. Maybe you should know that.
Hv huonagi aibu [emoji3][emoji3]Wanazoishi wageni? Wageni kutoka Tanzania? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe kuna wageni wengi sana Nairobi.
Burudisha macho na picha za nyumba za wageni ukiwaza kuhusu dream houses [emoji23] View attachment 1377365View attachment 1377369View attachment 1377370View attachment 1377372View attachment 1377375View attachment 1377376View attachment 1377378View attachment 1377379View attachment 1377381View attachment 1377384View attachment 1377406View attachment 1377407View attachment 1377408View attachment 1377409View attachment 1377410View attachment 1377411View attachment 1377412View attachment 1377413View attachment 1377414View attachment 1377415