Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini msizalishe chakula badala yake mnalalamika kwamba Kenya ni jangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyasema hatuzalishi ni nani? Unafikiri sisi ni wazembe Kama nyie? 2/3 of kenya is arid or semi-arid and nothing much happens in those regions. Kisii is not part of arid regions as you can see from those pictures and it's food sufficient. Huko ukosefu wa chakula ni kama ndoto zile zenu za dream houses
 
UAE is 100% lakini hakuna mtu anakufa njaa, mbona chai mnazalisha kwa wingi, au chai inapandwa jangwani?. Ubepari huo unawamaliza, ardhi yote nzuri ipo mikononi mwa matajiri hawaoni umuhimu wa kulima chakula, matokeo yake wananchi wa kawaida wanakosa ardhi ya kulima wanategemea chakula cha misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss hzo slum ziko wapi ebu tupia pcha japo mbili za hzo unazoita ww dream house af na mm nitupie original definition tuone[emoji3][emoji3]
Nimesema hizo squalors mnaita dream houses zinapatikana tu kwenye slums huku kwetu. Can't you join the dots? Huwezi pata hizo nyumba mnaita dream houses anywhere outside slums huku Nairobi. Nionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi kama sio slum
 
Hiyo ya ardhi ni wimbo tumeimbiwa toka enzi za Nyerere so you are not telling me anything new. Try a different line kijana wa tandale
 
Amazing[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Huu uchafu huwezi kuta Dar CBD hata cku moja [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…