COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
https://www.google.com/amp/www.nati...ad/1056-3860944-view-asAMP-fxhihgz/index.htmlhaya tususbiri tuone nimeskia baadhi ya wachumi wakenya wanasma deni hilo litachukua miaka mingi kulipa na halifanani na SGR yenyewe
Deni ata USA iko na deni kubwa sanahaya tususbiri tuone nimeskia baadhi ya wachumi wakenya wanasma deni hilo litachukua miaka mingi kulipa na halifanani na SGR yenyewe
πππππ wachina sio watu wazuri aise
USA ina deni 104% ya GDP yao ....yetu ni 49%haya tususbiri tuone nimeskia baadhi ya wachumi wakenya wanasma deni hilo litachukua miaka mingi kulipa na halifanani na SGR yenyewe
usa is not kenya my friend kuna tafauti kati ya developed countries na developing countries...πππDeni ata USA iko na deni kubwa sana
usa is not kenya my friend kuna tafauti kati ya developed countries na developing countries...πππUSA ina deni 104% ya GDP yao ....yetu ni 49%
Hawa ni waseee wa kazi na wanafanya chapchap...nyinyi mtakaa hapo mkitegea Turkey hadi mrudi China tuπππππ wachina sio watu wazuri aise
But before ikue developed ilikua na deni zaidi soma historia bratheusa is not kenya my friend kuna tafauti kati ya developed countries na developing countries...πππ
leo hii kenya economy unataka fananisha na usa economy hahahahahπππππππππBut before ikue developed ilikua na deni zaidi soma historia brathe
turkey and Portugal.....two countries my friendHawa ni waseee wa kazi na wanafanya chapchap...nyinyi mtakaa hapo mkitegea Turkey hadi mrudi China tu
hahah sasa mbona munakua waoga hvi????I am trying to imagine how much cargo will have been moved in Kenya before Tanzania completes their SGR, do test runs and launch it commercially?
Those countries aren't as efficient as China..turkey and Portugal.....two countries my friend
The funny part is that you don't have even electricity to power the trains. .tz only has 1200 mWturkey and Portugal.....two countries my friend
Safi Ichoboy01 sina la ziada!! Siwezi jua ya usoni kweli, Waweza kuwa umenena ukwelihaiwezekani mr wanjala uniambie nairobi ina magari mengi kuliko tanzania nzima.....ππππ
πππ hvi wewe huoni foleni ya dar 1590.5 km sq...
kwanza how do u take tanzania?? au bado mawazo unawaza tanzania ile ya 90s
na mimi hua situkani na sijawah mtukana mtu but sometimes usipende kuongea sana mpaka unajikuta kuongea nonsense.
na mm nakuhakikishia mr wanjala kwa maendeo yalivyoshika kasi Tanzania....hutokuja kuongea anything na nitakutafuta tuongee tenaπππππ
haya tusubiri tuone kaka uzuri wetu hua hatuongei sana wala kujisifia ππππThose countries aren't as efficient as China..
sawa wanjalaππSafi Ichoboy01 sina la ziada!! Siwezi jua ya usoni kweli, Waweza kuwa umenena ukweli
Apa ndio wa Kenya tunapo tofautiana yani ww badala umwambie amshauri friend yake ajitaidi ajenge kwake atoke apo dormitory ww unaona yupo lucky kuishi kwenye ma flati ya bweniYour friend is so lucky to have such a view, I didn't take the photo though, just found it in the internet.